Ukiachana na umri kama natural factor ila trend ya kuwaombea mabaya viongozi wa ccm tokea enzi za the departed magufuli, naona inakuwa kadiri siku zinavyoenda. Kwani hiki kitu huja ki notice ? Yaani hata afe nani wa ccm sahivi hamna anayeshtuka. Af ukichunguza sana hili jambo limeanzia kwa chama dola na sasa linawatafuna wao tena.