Dkt. Manguruwe matatani, asomewa mashtaka 28 ya utapeli, uhujumu Uchumi

Mimi simlaumu huyo, nawalaumu hao waliokuwa wanamfumia hela.....acha apige hela za wajinga
 

Hawa jamaa ni wapumbavu, yani yamechukua hela baada ya kwenda kuzungusha, yamefukia kwenye ardhi
 
Changamoto za Utafutaji wakuu. Haya maisha ni Magumu sana. Ila bora kapata hii kesi maana kama akikutwa hana hatia basi ule uzushi kwamba yeye ni Tapeli naona utaisha sasa..
 
Daa! Kweli wakinga ndio waliwao. Ni kama DESI. Halafu anajitangaza hadi kwenye redio za dini, kama WAPO Radio.
Wakusanyaje pesa kwenye sandarusi halafu wanakwambia nimeziona tu kwenye account
 
Hapo ndio utajua vyombo vyetu vya habari ni hatari sana.

Havina uwezo wa kuchunguza kama vyombo vya habari vya mataifa mengine.
ITV, Wapo radio nk walishiriki sana kum promot.
 
Vanilla almanusura nijichangnye aseee😄
ATI kilo Moja inanunuliwa tsh 1,000,000/=akiulizwa soko liko wapi!kimya,nikuuzia zangu!kimya,eti lete hela nikulimie,haya shamba liko wapi!kimya,ama anasema ni la mfano Afrika yote,
 
Huyu niliona yule kichaa doto magari anamsifia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…