Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha kisiasa Tanzania, lakini ninautambua ukweli huu: hakuna serious discussion kuhusu upinzani kwenye nchi hii unaoweza kufanyika bila kuitaja CHADEMA.Wewe hata hueleweki unazungumzia CHADEMA au unazungumzia wananchi kupinga CCM.
CHADEMA kama kweli ni chama cha wananchi kinazuiliwaje kufanya shughuli za kisiasa?
Hiyo ni excuse ya chama kikichoshindwa ku mobilize watu.
Hiyo ni failure ya CHADEMA. Nakwambia CHADEMA imeshindwa hata kuanzisha campaign ya ku boycott CRDB, benki ya ovyo kabisa iliyowapotezea watu access ya pesa zao, achilia mbali ku boycott uchaguzi.
Huelewi wapi?
CHADEMA wamefungiwa legal avenues zote za kuufikia umma. Karata pekee waliyobaki nayo ni ya kuasi dhidi ya sheria kandamizi. Sijui kama kuna namna nyingine bora ya kukufanya uielewe hii political landscape!