Mimi na wewe are no where close to the center of political activity, lakini hili sio suala la kuwa na akili kuliko wengine bali ni suala la kuwa na full appreciation ya mazingira waliyomo wahusika.You are very condescending. So condescending it is scary.
Unajiona una akili kuliko wengine.
Na huo ni mwanzo wa kufanya udikteta kwa kujiona wewe unajua zaidi kuliko wengine.
Kama hupendi uchaguzi, shawishi watu wasipige kura. Hiyo ni haki yako.
Wasipokuelewa, kubali kuwa na wao wana haki ya kupiga kura. Kubali kuwa umeshindwa kuwashawishi. Hiyo ndiyo demokrasia.
Usivuruge uchaguzi wao. Usilazimishe unachotaka wewe.
Waachie wapige kura.
Ndiyo demokrasia hiyo.
Usilazimishe unachotaka wewe lazima kiwe hichohicho.
Kwa nini unataka kulazimisha unachotaka wewe kiwe hichohicho tu?
Kwani watu hawana haki hata ya kukosea?
Kama kweli watu kupiga kura wanakosea, unataka kulazinisha wasiwe na haki ya kukosea?
In a democracy, don't people have a right to be wrong?
Nani amesema anataka kuzuia uchaguzi kwa nguvu? Sana sana, CHADEMA wamegusia kuitisha maandamano ya amani. Hiyo ni haki yao kabisa, kutoa maoni yao. Kama wataweza kuwashawishi watu wajitokeze kuandamana, hiyo ndiyo tafsiri ya demokrasia. Haisaidii kujifanya kipofu na kiziwi kwamba hukuona yaliyotokea mwaka jana kwenye 'uchaguzi' wa serekali za mtaa, na bado unaita huo ni uchaguzi. Serekali inasema uchaguzi uendelee wakati chama cha upinzani wamewakataza kufanya siasa. Kiongozi wao yuko ndani kwa kesi ambayo imekuwa ikiahirishwa tu kwa sababu zisizoeleweka, mpaka baada ya 'uchaguzi' kumalizika. Mpinzani mwingine, Mpina, aliyeonekana kuwa tishio naye akanyimwa fursa ya kugombea. Sasa kuna mantiki gani ya kusema uchaguzi uendelee wakati wapinzani wanakataliwa kugombea? Si bora kwamba uchaguzi usiwepo kabisa? Hakuna mtu aliyetishia kutumia nguvu kuzuia uchaguzi, mbali na nguvu za hoja.Ukishataka kuzuia uchaguzi kwa nguvu unaelekea kwenye vurugu, anarchy.
Pia unakuwa umetoa kauli kwamba umeshindwa kuwashawishi wananchi wasusie uchaguzi kwa amani na kuonesha kuwa uchaguzi huo hauna baraka za wananchi.
Hii si njia ya kupita watu wanaotaka kutuonesha mfano wa kuendesha mambo kwa amani na kufuata utawala wa sheria.
Mimi na wewe are no where close to the center of political activity, lakini hili sio suala la kuwa na akili kuliko wengine bali ni suala la kuwa na full appreciation ya mazingira waliyomo wahusika.
Umeng’ang’ana wanaopinga uchaguzi (ambao actually ni igizo la uchaguzi) wawashawishi wapigakura wasipige kura. Again (and again and again and again), unataka wafanye hivyo kwa kutumia jukwaa gani?
Again, toka kwenye hiyo sayari uliyoko uje duniani. Otherwise, you’ll keep making an argument that’s completely out of touch with the reality!
Nani amesema anataka kuzuia uchaguzi kwa nguvu? Sana sana, CHADEMA wamegusia kuitisha maandamano ya amani. Hiyo ni haki yao kabisa, kutoa maoni yao. Kama wataweza kuwashawishi watu wajitokeze kuandamana, hiyo ndiyo tafsiri ya demokrasia. Haisaidii kujifanya kipofu na kiziwi kwamba hukuona yaliyotokea mwaka jana kwenye 'uchaguzi' wa serekali za mtaa, na bado unaita huo ni uchaguzi. Serekali inasema uchaguzi uendelee wakati chama cha upinzani wamewakataza kufanya siasa. Kiongozi wao yuko ndani kwa kesi ambayo imekuwa ikiahirishwa tu kwa sababu zisizoeleweka, mpaka baada ya 'uchaguzi' kumalizika. Mpinzani mwingine, Mpina, aliyeonekana kuwa tishio naye akanyimwa fursa ya kugombea. Sasa kuna mantiki gani ya kusema uchaguzi uendelee wakati wapinzani wanakataliwa kugombea? Si bora kwamba uchaguzi usiwepo kabisa? Hakuna mtu aliyetishia kutumia nguvu kuzuia uchaguzi, mbali na nguvu za hoja.
Nani amesema anataka kuzuia uchaguzi kwa nguvu? Sana sana, CHADEMA wamegusia kuitisha maandamano ya amani. Hiyo ni haki yao kabisa, kutoa maoni yao. Kama wataweza kuwashawishi watu wajitokeze kuandamana, hiyo ndiyo tafsiri ya demokrasia. Haisaidii kujifanya kipofu na kiziwi kwamba hukuona yaliyotokea mwaka jana kwenye 'uchaguzi' wa serekali za mtaa, na bado unaita huo ni uchaguzi. Serekali inasema uchaguzi uendelee wakati chama cha upinzani wamewakataza kufanya siasa. Kiongozi wao yuko ndani kwa kesi ambayo imekuwa ikiahirishwa tu kwa sababu zisizoeleweka, mpaka baada ya 'uchaguzi' kumalizika. Mpinzani mwingine, Mpina, aliyeonekana kuwa tishio naye akanyimwa fursa ya kugombea. Sasa kuna mantiki gani ya kusema uchaguzi uendelee wakati wapinzani wanakataliwa kugombea? Si bora kwamba uchaguzi usiwepo kabisa? Hakuna mtu aliyetishia kutumia nguvu kuzuia uchaguzi, mbali na nguvu za hoja.
An abstract discussion of ideas is meaningless if it’s far removed from reality. Na hapa ndipo tofauti zetu zinapoanzia. Nimejitahidi kuyaelewa mazingira waliyomo wahusika, lakini wewe umebaki na mazingira yako ya kufikirika.Why does being at the centre of political activity matter in an abstract discussion of ideas?
Do you even understand that this is a discussion of abstract ideas?
Do you understand that practically you can't stop the election and Samia is most probably going to be your president whether you like it or not, whether you demonstrate on election day or not?
Kimsingi umejipa haki kubwa kuliko wengine wakati unatetea mfumo ambao unataka watu wote wawe na haki sawa.
This is a contradiction.
Huelewi hata demokrasia ni nini.
Ungeelewa ungejua kuwa demokrasia maana yake ni kwamba hata walio sawa wanaweza kuzidiwa wingi na wanaokosea na wakizidiwa wanatakiwa kukubali kuwa waliokosea wamewazidi.
Wewe hutaki kukubali ukweli huo.
Unataka demokrasia kidikteta.
That is a contradiction.
Everything starts with an abstract idea that is far removed from reality, then it is realized.An abstract discussion of ideas is meaningless if it’s far removed from reality. Na hapa ndipo tofauti zetu zinapoanzia. Nimejitahidi kuyaelewa mazingira waliyomo wahusika, lakini wewe umebaki na mazingira yako ya kufikirika.
Nimeshakuambia, wapigakura wameshapangiwa Rais, Makamu wa Rais, mbunge wa kila jimbo na diwani wa kila kata. Kama wewe bado huwajui ni kwasababu umeamua kujizima data. Wapo watu walioamua kukataa huu uhuni wa kufanya rubber stamping. How? Wanajua wao. Mimi nimeshasema: I cannot (in good conscience) stand in their way!
Wewe ndiye una shida ya uelewa wa demokrasia. Hakuna true democratic system inayotaka mpigakura apangiwe mtu gani atakuwa kiongozi wake. Hii kasoro kila mpenda haki (popote alipo) anaijua.
Kimsingi, wewe ndiye unakumbatia dictatorship. Unapata nini kwa kukumbatia huo uhuni?
Umekuwa na tatizo sugu la kujizima data. Unataka opposing voice iwashawishi wapigakura kwa kutumia jukwaa gani?Everything starts with an abstract idea that is far removed from reality, then it is realized.
Hata wewe unapoongelea regime change hiyo ni abstract sasa hivi. Sasa tuache kuiongelea kwa sababu ni abstract?
Wapiga kura wamepangiwa. Wewe umeshindwa kuwashawishi wajue kuwa wamepangiwa na kukataa uchaguzi.
Kwa nini unashindwa kukubali kuwa umeshindwa kuwashawishi watu kwa hoja na unataka kufanya vurugu?
Kwani wapiga kura katika demokrasia hawana haki ya kukosea?
Kushindwa kuwa na jukwaa la kuongea na wananchi nayo ni indication kwamba hamuwezi kuongoza nchi. This is your weakness.Umekuwa na tatizo sugu la kujizima data. Unataka opposing voice iwashawishi wapigakura kwa kutumia jukwaa gani?
Did ANC do all that overnight? Wewe hata basic steps za civil disobedience tu unapinga. You’re happy with the status quo and, therefore, cannot be counted on to support those who strive to uproot injustice!Kushindwa kuwa na jukwaa la kuongea na wananchi nayo ni indication kwamba hamuwezi kuongoza nchi. This is your weakness.
You are admiring the problem instead of solving it.
Utawezaje kuongoza nchi kama umeshindwa kuji organize kuwa na jukwaa la kushawishi wananchi tu?
That is a basic requirement.
Mmepewa zawadi na CCM, CRDB imepoteza fedha za wananchi wengi sana. Mmeshindwa hata ku mobilize wananchi waisusie CRDB.
Mtaweza vipi kuiondoa CCM kama mmeshindwa kuisusia CRDB tu?
ANC walipigwa marufuku na makaburu, viongozi wao kina Mandela, Sisulu, Mlangeni, Kathradas, etc wakafungwa.
Lakini, waliweza kuji organize wakapinga utawala dhalimu wa makaburu, wakajipanga na strategies ndani na nje ya South Africa, mpaka utawala wa kibaguzi ukaanguka.
Hawakulalamika kuwa wamenyimwa platform ya ku organize wananchi.
Ukishasema umenyimwa platform ya ku organize wananchi maana yake ni kuwa unategemea watawala wakupe fair playing ground. That is an illusion.
Pia, unachosema ni kuwa message yako haieleweki kwa wananchi. Ikieleweka wananchi watakufuata wenyewe kama walivyozifuata TANU na ANC kwenye mapambano dhidi ya ukoloni na ubaguzi wa rangi respectively.
Mtu mwenye kutafuta excuse hawezi kukosa excuses hata za kutunga tu.
Mtu ambaye anataka kufanya kweli hata kama kuna genuine excuses and impediments, atazifanyia kazi na kuziondoa.
Nyie mnalalamika tu. Hamna hata strategy. Hamjui mnapoandama siku ya uchaguzi lengo lenu ni nini, mnalifanikishaje kwa kuandamana, mtaingia gharama gani, na je gharama hizo zitakuwa justified kwa matokeo mtakayoyapata?
ANC did not do all of that overnight.Did ANC do all that overnight? Wewe hata basic steps za civil disobedience tu unapinga. You’re happy with the status quo and, therefore, cannot be counted on to support those who strive to uproot injustice!
Haki zote zinatakiwa kuzingatiwa.Mbona hizi haki nyengine za free and fair election hazi zingatiwi.
Lakini haki ya KUPIGA KURA ndio inapewa kipaumbele sana.
Haki ya kupiga kura inaenda sambamba na haki ya kusikiliza na kujuzwa yote juu ya unae mpigia kura.
Haiwezekani wananchi walishwe vichache, Then mwisho wa siku waambiwe haya tekelezeni haki yenu ya kikatiba ya kupiga kura.
Ina staajabisha sana.
Lakini vinatakiwa viende directly proportional.Haki zote zinatakiwa kuzingatiwa.
Tunaweza kuzingatia na kusisitiza haki za free and fair elections na wakati huo huo tukasisitiza na kusimamia haki za wanaotaka kupiga kura wapige kura.
This is not an either/or proposition.
Thinking so is creating a false dichotomy, that is a logical fallacy.
What does it take for you to understand that I am no where close to the center of political activity? I just have a full appreciation of the political landscape!ANC did not do all of that overnight.
But it had a strategy from the get go. The strategy was multilayered, from the publicly shared to the confidential.
Where is your strategy?
Where did I say I am oppsed to basic steps of civil disobedience?
Must civil disobedience involve disrupting elections?
Where did I say that I am happy with the status quo? This is a logical non sequitur fallacy.
Kwani haiwezekani nisifurahie status quo na nisifurahie pia upinzani unaoipinga? Why are you making this into a dichotomy? Don't you realize this is a false dichotomy, a logical fallacy?
Inatakiwa kuwa hivyo, watu wapige kura wakiwa na uelewa. Lakini hilo ni tatizo la demokrasia dunia nzima.Lakini vinatakiwa viende directly proportional.
Kawamba ili haki ya kupiga kura iwe valid, basi na hivi vyengine viwe constant.
Sio watu wapige kura lakini hawana uelewa wowote, Yani watimize tu wajibu wao wa kikatiba.
Na pia vipi hili kundi lengine la watanzania, wana haki pia ya kusikilizwa na kuleta hoja zao kwanini hawataki uchaguzi.