GE2025 Dkt. Marcus Alban: Kuzuia Uchaguzi ni Kosa Kubwa katika Taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
What does it take for you to understand that I am no where close to the center of political activity? I just have a full appreciation of the political landscape!

Defying oppressive laws is one of the basic steps of civil disobedience. Unapinga maandano yaliyopangwa yafanyike siku ya kile wanachoita uchaguzi. Ni wapi kwenye Katiba yetu haki ya kuandamana imepangiwa siku maalumu?

Civil disobedience can disrupt a lot of things, not just elections. Kama unaona disrupting elections sio sawa basi lazima uone pia kwamba disrupting productive activities sio sawa. Civil disobedience is, therefore, not acceptable to you at all.

You don’t need to tell anyone that you’re happy with the status quo, but any reasonable person can tell it. You have worked vehemently to oppose those who strive to bring change!
You being or not being close to the center of political ativity is a moot point, because we are discussing ideas here.

What would you do if you were at the centre of political activity? You are conveniently excusing yourself from this question.

One can defy oppressive laws without interfering with others right to vote, thinking otherwise is a non sequitur logical fallacy that is also a false dichotomy. There is no dichotomy here.

Where did I say civil disobedience sio sawa? Can you show me that part? Why are you strawman arguing?

Don't you know that a strawman argument is a logical fallacy?

Why do you think that anyone who disagrees with your position is working vehemently to oppose those who strive to bring change?

Who gave you the monoploly to that change?
 
Kama unaishi katika nchi unayoona ina wajinga wengi ambao hawakuelewi wewe mwerevu, kidemokrasia wewe mwerevu huna haki ya kuwalazimisha wale wajinga wengi wafuate unachotaka wewe ati kwa sababu wewe unajiona uko sawa.

Unatakiwa ujenge hoja mpaka hao wajinga wengi wakuelewe na kukubali hoja zako, usiwalazimishe wafanye unachotaka wewe.

Kwa nini somo hili dogo linakuwa gumu sana kueleweka?
 
Lakini hali akisi hali halisi iliyopo katika nchi.
Chama tawala kina fanya kadri kiwezavyo kuzuia hoja yoyote toka kwa chama pinzani.

Na hii sio sawa kama kweli tunafuata demokrasi.
Mwisho wa siku maamuzi ya wajinga wengi yata athiri maendeleo ya nchi bila kujali ni wajibu wao kikatiba ama laa.

Ifike hatua maendeleo ya nchi yawe mbele, Bila kujali vyama na misimamo isiyo na tija ya wajinga wengi.
 
Hapo ulipomalizia, ifike hivyo ndani ya mfumo wa demokrasia au nje ya mfumo wa demokrasia?
 
Options zipo nyingi na tunaweza kuzijadili lakini kabla ya kujua option gani tuchukue, tunaweza kukubaliana kuwa tukatae option ya vurugu na kuzuia wengine wanaotaka kufanya uchaguzi wao?

Tunaweza kukubaliana kuwa tunasimamia mabadiliko ya amani?

Na kama hatukubaliani na dhana ya mabadiliko ya amani, tunataka kutumia nguvu, sasa hapo tutawalaumu vipi CCM kwa kutawala kwa nguvu?
Nguvu itatumika tu pale watawala hawataki makubalianobya amani.....kama unataka utawala wa kubadilishana kwa amani nchi za Africa nyingi bado zingekuwa zinadai uhuru toka kwa wakoloni hadi leo
 
Sasa kwa nini mnasubiri mpaka siku ya uchaguzi kuandamana?

Hamuoni kuwa mkiachia mpaka siku ya uchaguzi ifike ili muandamane tayari mshashindwa ku disrupt ichaguzi?

Siku hii ndiyo siku ambayo iko guaranteed kuwa na ulinzi mkubwa sana. Mtapigwa na kuuawa tu. Then what?

Kwa nini mnataka kuandamana siku hii na si nyingine?
 
"Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za elfu mbii kuja 25, ssa kuzuia uchauzi ni sawa na kusema wwe unataka kutuzuia sisi raia kutekeleza wajibu wetu, kupata haki yetu na kuamua hatima yetu, hili ni kosa kubwa sana katika taifa lolote" amesema -Dkt.Marcus Alban ambaye pia Mtaalam wa Uchumi na Mchambuazi wa Siasa akiwa katika Mahojiano ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV

Kuzuia kwa njia gani?

Tuache kutishina no reform no election
 
You being or not being close to the center of political ativity is a moot point, because we are discussing ideas here.

What would you do if you were at the centre of political activity? You are conveniently excusing yourself from this question.

One can defy oppressive laws without interfering with others right to vote, thinking otherwise is a non sequitur logical fallacy that is also a false dichotomy. There is no dichotomy here.

Where did I say civil disobedience sio sawa? Can you show me that part? Why are you strawman arguing?

Don't you know that a strawman argument is a logical fallacy?

Why do you think that anyone who disagrees with your position is working vehemently to oppose those who strive to bring change?

Who gave you the monoploly to that change?
Kinda ridiculous! You have repeatedly sought to know my strategy. Why and how do you expect a distant observer to have a political strategy?

What civil right is inferior to the voting right, which you would rather have it denied?

You have categorically said that protesting on an election day sio sawa. Huko ni kusema civil disobedience sio sawa. Katiba yetu haisemi haki ya watu kuandamana haipo siku ya uchaguzi.

Actually, you aren’t opposing me, because I am not coordinating anything. Maybe opposing my support to those who strive to bring change is all you can point to. Nonetheless, I don’t need you to bless my support to the brave men and women!

In conclusion, I think agreeing to disagree is the most logical way to bring this debate to an end. Otherwise, arguing for the sake of arguing is a sure way to waste each other’s time!
 
Kusema protesting on election day si sawa si kusema civil disobedience si sawa.

Kwa sababu civil disobedience haiishii kwenye ku protest katika siku ya uchaguzi. Kuna siku nyingi sana za ku protest ambazo watu wanaweza ku protest bila kuingikia haki ya wengine ya kupiga kura bila bughudha.

Huelewi wapi?

Kwani nikikwambia nakaa Tanzania ni lazima niwe nakaa Dar es salaam? Kwa nini unataka kulazimisha kukaa Tanzania iwe ni kukaa Dar es salaam wakati Tanzania ni zaidi ya Dar es salaam?

What you are saying is a logical non sequitur fallacy, a false dichotomy fallacy and a strawman argument fallacy.
 
Options zipo nyingi na tunaweza kuzijadili lakini kabla ya kujua option gani tuchukue, tunaweza kukubaliana kuwa tukatae option ya vurugu na kuzuia wengine wanaotaka kufanya uchaguzi wao?

Tunaweza kukubaliana kuwa tunasimamia mabadiliko ya amani?

Na kama hatukubaliani na dhana ya mabadiliko ya amani, tunataka kutumia nguvu, sasa hapo tutawalaumu vipi CCM kwa kutawala kwa nguvu?
Mabadiliko ya amani kama yangekuwa practical yangekuwa yashafanyika. You can not talk peaceful means infront of veggies.
 
Mimi hata sina tatizo na mabadiliko yasiyo ya amani, nina tatizo na contradiction tu.

Hutakiwi kusema unasimamia demokrasia halafu unalazimisha watu wasipige kura wakati wao wamekubali kupiga kura.

That is a contradiction.
 
"Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za elfu mbii kuja 25, ssa kuzuia uchauzi ni sawa na kusema wwe unataka kutuzuia sisi raia kutekeleza wajibu wetu, kupata haki yetu na kuamua hatima yetu, hili ni kosa kubwa sana katika taifa lolote" amesema -Dkt.Marcus Alban ambaye pia Mtaalam wa Uchumi na Mchambuazi wa Siasa akiwa katika Mahojiano ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV

Bora akae kimya maana hiyo tarehe 29 sijui atajificha wapi na hicho kitambi. Ni huzuni
 
Ukishataka kuzuia uchaguzi kwa nguvu unaelekea kwenye vurugu, anarchy.

Pia unakuwa umetoa kauli kwamba umeshindwa kuwashawishi wananchi wasusie uchaguzi kwa amani na kuonesha kuwa uchaguzi huo hauna baraka za wananchi.

Hii si njia ya kupita watu wanaotaka kutuonesha mfano wa kuendesha mambo kwa amani na kufuata utawala wa sheria.
Amani haileti chakula mezani.
Amani haimzuii rostam kuuza makaa au Abdul kununua Rolls Royce
 
Kusema protesting on election day si sawa si kusema civil disobedience si sawa.

Kwa sababu civil disobedience haiishii kwenye ku protest katika siku ya uchaguzi. Kuna siku nyingi sana za ku protest ambazo watu wanaweza ku protest bila kuingikia haki ya wengine ya kupiga kura bila bughudha.

Huelewi wapi?

Kwani nikikwambia nakaa Tanzania ni lazima niwe nakaa Dar es salaam? Kwa nini unataka kulazimisha kukaa Tanzania iwe ni kukaa Dar es salaam wakati Tanzania ni zaidi ya Dar es salaam?

What you are saying is a logical non sequitur fallacy, a false dichotomy fallacy and a strawman argument fallacy.
You’re stuck in faux intellectualism that does nothing to advance your case!
 
Back
Top Bottom