Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha kisiasa Tanzania, lakini ninautambua ukweli huu: hakuna serious discussion kuhusu upinzani kwenye nchi hii unaoweza kufanyika bila kuitaja CHADEMA.Wewe hata hueleweki unazungumzia CHADEMA au unazungumzia wananchi kupinga CCM.
CHADEMA kama kweli ni chama cha wananchi kinazuiliwaje kufanya shughuli za kisiasa?
Hiyo ni excuse ya chama kikichoshindwa ku mobilize watu.
Hiyo ni failure ya CHADEMA. Nakwambia CHADEMA imeshindwa hata kuanzisha campaign ya ku boycott CRDB, benki ya ovyo kabisa iliyowapotezea watu access ya pesa zao, achilia mbali ku boycott uchaguzi.
Huelewi wapi?
Kuna mtu mwenye haki ya kumnyima mtu mwingine haki yake ya kikatiba Tanzania?Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha kisiasa Tanzania, lakini ninautambua ukweli huu: hakuna serious discussion kuhusu upinzani kwenye nchi hii unaoweza kufanyika bila kuitaja CHADEMA.
CHADEMA wamefungiwa legal avenues zote za kuufikia umma. Karata pekee waliyobaki nayo ni ya kuasi dhidi ya sheria kandamizi. Sijui kama kuna namna nyingine bora ya kukufanya uielewe hii political landscape!
Kuzuia uchaguzi kaa home usipige kura hiyo inatosha serikali itakua madarakani Lakin inajua haiko kialali maana haijachaguliwa na watu wengiUkishataka kuzuia uchaguzi kwa nguvu unaelekea kwenye vurugu, anarchy.
Pia unakuwa umetoa kauli kwamba umeshindwa kuwashawishi wananchi wasusie uchaguzi kwa amani na kuonesha kuwa uchaguzi huo hauna baraka za wananchi.
Hii si njia ya kupita watu wanaotaka kutuonesha mfano wa kuendesha mambo kwa amani na kufuata utawala wa sheria.
Wanashindwa vipi kuwashawishi wakati chama chenye watu wengi na ushawishi kimefungiwa na mwenyekiti wake yuko jela ambae alikua anatoa Elimu ya No reforms no Election maana mwisho uchaguzi ugesusiwa na watu wengi Elimu ya Reforms ingendeleaKama katika mwaka una siku 364 za kufanya maandamano, ukang'ang'ania kufanya maandamano siku ya 365 ambayo ni ya uchaguzi, hapo unataka kuleta vurugu kwenye huo uchaguzi tu.
Kwa sababu ungeweza kuandamana siku moja kabla ya uchaguzi au siku moja baada ya uchaguzi.
Mimi siipendi CCM na naelewa uchaguzi ni magumashi, lakini wapinzani walitakiwa kuwashawishi wananchi wasusie uchaguzi, siju ya uchaguzi kila ntu akae nyumbani.
Wapinzani wameshindwa hii kazi.
Sasa inaonekana kama wamwshindwa kushawishi watu wasiende kwenye uchaguzi, wanataka kuuvuruga uchaguzi kwa nguvu.
Watanzania waliochagua kushiriki kwenye uchaguzi wana haki ya kikatiba ya kushiriki kwenye uchaguzi wao bila vurugu. Bila kujali uchaguzi ni wa haki ama la.
Mimi sikubaliani na uhalali wa uchaguzi huu, na watakaoshiriki wengi ma CCM sikubaliani nao kisiasa, lakini natetea haki yao ya kikatiba ya kushiriki katika uchaguzi wao.
Kwa hiyo chama kinamtegemea mtu mmoja?Wanashindwa vipi kuwashawishi wakati chama chenye watu wengi na ushawishi kimefungiwa na mwenyekiti wake yuko jela ambae alikua anatoa Elimu ya No reforms no Election maana mwisho uchaguzi ugesusiwa na watu wengi Elimu ya Reforms ingendelea
Sikuwahi kufikiria hata siku moja kwamba kuna haki ya kikatiba ya rubber stamping. Mpaka kufikia sasa, nchi imeshapangiwa Rais, Makamu wa Rais, mbunge wa kila jimbo na diwani wa kila kata. Kama bado huwajui, basi uko sayari nyingine, fanya urudi duniani.Kuna mtu mwenye haki ya kumnyima mtu mwingine haki yake ya kikatiba Tanzania?
Kama yupo, usilalamike mkinyimwa haki zenu za kikatiba na CCM.
Kama hayupo, kwa nini wewe unataka kuwanyima wengine haki zao za kikatiba kupiga kura?
Sawa.Sikuwahi kufikiria hata siku moja kwamba kuna haki ya kikatiba ya rubber stamping. Mpaka kufikia sasa, nchi imeshapangiwa Rais, Makamu wa Rais, mbunge wa kila jimbo na diwani wa kila kata. Kama bado huwajui, basi uko sayari nyingine, fanya urudi duniani.
There’s no such thing as constitutional right of rubber stamping. Mbaya zaidi, rubber stamping affects everyone. Ndiyo maana watu wengine, baada ya kufungiwa avenues za kuuelimisha umma, wanachukua the extraordinary step ya kuasi dhidi ya sheria kandamizi.Sawa.
Sikukatalii yote hayo.
Una njia nyingi sana za kuonesha hayo bila kuingilia kile mwingine anachokiita haki yake ya kikatiba kushiriki uchaguzi.
Ukiingilia hilo ushajitengenezea mazingira ya kuingia kwenye hoja ambayo ni argumentative. Ukaonekana umeshindwa kuwashawishi watu wasusie uchaguzi, unakuwa kivuruge unataka kuvuruga uchaguzi.
Kwa sababu, kuna watu wengine watasema dawa ya kuondoa mfumo huo unaoulaumu si kususia uchaguzi wala kuvuruga uchaguzi.
Dawa ni kushiriki uchaguzi na kuonesha wizi wote na ujinga wote mpaka mwisho kitaeleweka.
Ndicho anachosimamia Peter Madeleka na wenzake.
Sasa, whether Madeleka is wrong or right is not the issue. That is beside the point.
That is not the point.
The point is Madeleka na wenzake wana haki ya kikatiba kushiriki uchaguzi bila bughudha.
Na watakaoleta vurugu uchaguzi usifanyike watamnyima haki yake hiyo ya kikatiba.
Kwa nini hutaki kukubali kuwa watu wengine wana haki pia?
Voting is a constitutional right.There’s no such thing as constitutional right of rubber stamping. Mbaya zaidi, rubber stamping affects everyone. Ndiyo maana watu wengine, baada ya kufungiwa avenues za kuuelimisha umma, wanachukua the extraordinary step ya kuasi dhidi ya sheria kandamizi.
EITHER umeingia kwenye hii debate bila kuwa na full appreciation ya mazingira waliyomo wapigakura wa nchi hii OR unajizima data makusudi.Voting is a constitutional right.
Matatizo yote hayo unayoyaita rubber stamping wenzako wameamua kupambana nayo kwa kushiriki uchaguzi.
Ukivuruga uchaguzi unawanyima haki yao ya kubadilisha mambo kwa kupitia kupiga kura.
It doesn't matter wako sawa au wanakosea, wana haki hiyo.
Huelewi wapi?
Kwa nini unajiona wewe tu ndiye mwenye haki wengine hawana haki?
Huu nao si udikteta wa aina yako?
You are very condescending. So condescending it is scary.EITHER umeingia kwenye hii debate bila kuwa na full appreciation ya mazingira waliyomo wapigakura wa nchi hii OR unajizima data makusudi.
Wapigakura wa nchi hii wamenyimwa access to the opposing civil education. Hii sio bahati mbaya. Watawala wanajua hawana compelling counterarguments wakiruhusu wapigakura waelimishwe juu ya utapeli ambao watawala wanaufanya.
That said, kuna ubaya gani kwa mwanakijiji kuzuia unsuspecting fellow villagers wasitapeliwe kwenye mchezo wa karata tatu ambao yeye anaujua ni wa kitapeli lakini waendeshaji wa huo mchezo wamefanya kila hila kuhakikisha hapati fursa ya kukutana na wanakijiji wenzake kuwaelimisha juu ya utapeli wa huo mchezo? Busara ya kawaida inamtaka every knowledgeable villager kutumia all tools at his or her disposal kuzuia unsuspecting fellow villagers wasitapeliwe. Najua wanakijiji wenzake watamshukuru down the road baada ya kuipata elimu sahihi. Kufanya tofauti na hili ni kuisaliti jamii yake!
Case ingekuwa tofauti kabisa kama wapigakura wangekuwa wanakwenda kushiriki huu mchezo wa kitapeli wakiwa wameshakuwa fully exposed to the opposing civil education!
Another puppet!"Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za elfu mbii kuja 25, ssa kuzuia uchauzi ni sawa na kusema wwe unataka kutuzuia sisi raia kutekeleza wajibu wetu, kupata haki yetu na kuamua hatima yetu, hili ni kosa kubwa sana katika taifa lolote" amesema -Dkt.Marcus Alban ambaye pia Mtaalam wa Uchumi na Mchambuazi wa Siasa akiwa katika Mahojiano ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV
"Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za elfu mbii kuja 25, ssa kuzuia uchauzi ni sawa na kusema wwe unataka kutuzuia sisi raia kutekeleza wajibu wetu, kupata haki yetu na kuamua hatima yetu, hili ni kosa kubwa sana katika taifa lolote" amesema -Dkt.Marcus Alban ambaye pia Mtaalam wa Uchumi na Mchambuazi wa Siasa akiwa katika Mahojiano ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV
Kaka Kiranga , unaposema wapinzani wanataka kuvuruga uchaguzi kwa nguvu, ni wapinzani gani hao ilhali vyama 18 vinashiriki uchaguzi!!??Kama katika mwaka una siku 364 za kufanya maandamano, ukang'ang'ania kufanya maandamano siku ya 365 ambayo ni ya uchaguzi, hapo unataka kuleta vurugu kwenye huo uchaguzi tu.
Kwa sababu ungeweza kuandamana siku moja kabla ya uchaguzi au siku moja baada ya uchaguzi.
Mimi siipendi CCM na naelewa uchaguzi ni magumashi, lakini wapinzani walitakiwa kuwashawishi wananchi wasusie uchaguzi, siju ya uchaguzi kila ntu akae nyumbani.
Wapinzani wameshindwa hii kazi.
Sasa inaonekana kama wamwshindwa kushawishi watu wasiende kwenye uchaguzi, wanataka kuuvuruga uchaguzi kwa nguvu.
Watanzania waliochagua kushiriki kwenye uchaguzi wana haki ya kikatiba ya kushiriki kwenye uchaguzi wao bila vurugu. Bila kujali uchaguzi ni wa haki ama la.
Mimi sikubaliani na uhalali wa uchaguzi huu, na watakaoshiriki wengi ma CCM sikubaliani nao kisiasa, lakini natetea haki yao ya kikatiba ya kushiriki katika uchaguzi wao.
Si wapinzani wala CHADEMA wanaokubaliana kuwa wafanye nini.Kaka Kiranga , unaposema wapinzani wanataka kuvuruga uchaguzi kwa nguvu, ni wapinzani gani hao ilhali vyama 18 vinashiriki uchaguzi!!??
Sijaona CHADEMA wakihamasisha maandamano na vurugu zaidi ya kuona kampeni yao ya No Reforms, No Election kabla hawajazuiwa kufanya kazi ya siasa.
Ni vyema kuwa makini tusichanganye kati ya wanaharakati na vyama.