Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,559
- 8,318
Kwan angempa angepata nini?Wapinzani kwa vituko hawajambo
Vipi maalim seif alipomnyima mkono Rais wa Zanzibar alipata nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan angempa angepata nini?Wapinzani kwa vituko hawajambo
Vipi maalim seif alipomnyima mkono Rais wa Zanzibar alipata nn
Hahahaaaaaa....... aifute kivipi bwashee?!Miongoni mwa kesi za ajabu katika taifa letu. DPP japo kachelewa aifute tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lema alihama kutoka TLP kwenda CHADEMA, Nyalandu alihama CCM kwenda CHADEMA na Prof Safari alihama CUF kwenda CHADEMA kwa hiyo ni wasaliti zaidi ya shetani? Lini mtu anahama chama na kuwa si msaliti?Binafsi nafikiri kuhama chama ni sayansi kwenye siasa, lakini usaliti ni dhambi kubwa ambayo hata shetani hawezi akaitenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Masomo gani bwashee?!Dogo si.ulishaleta uzi kutuaga unaenda masomoni?
Angemwambia akamwombe mama yake au mama yako. Si mama yako na mama Mashinji wote wana papuchi? aombe kwa mmoja wao.Mkono tu hataki kuutoa je angeombwa papuchi ingekuwaje? Siasa sio uadui
mnavyosema ''no hate no fear'' maana yake nini?au machoni kama watu, moyoni hamna utuMbwa ikikuzoea Sana inaweza kukufuata hadi msikitini, huyu ilitakiwa wote wamdharau tu kama mbwa
Povu linakutoka vumilia dawa ikuingieAngemwambia akamwombe mama yake au mama yako. Si mama yako na mama Mashinji wote wana papuchi? aombe kwa mmoja wao.
Mbowe povu lanini?Mpelekee wewe Mashinji papuchi yako !! Kwani wewe huna papuchi??
Faida ndiyo hii mpaka leo unalikumbuka tukio.Wapinzani kwa vituko hawajambo
Vipi maalim seif alipomnyima mkono Rais wa Zanzibar alipata nn
Ulitaka afanyaje?Ndugu zangu,
Nimejikuta nacheka, nikajiuliaza nini maana ya maneno ''no hate no fear'' nikagundua huenda Mashinji ndiye mtunzi wa slogan ya ''No hate no fear''. Hofu ya Mbowe kwa mashinji inatokana na nini?
Kuna haja ya CHADEMA kutengeneza slogan mpya sababu hii ya 'no hate no fear' hamuiamini baada ya Mashinji kuondoka?
Kwanini anamkwepa Mashinji?