Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

Mmesahau juzi tu pelosi na Trump wametoleana boko tena mbele ya bunge mnamshangaa halima,

Halima bado anamachungu ya kaka yake lisu kushambuliwa na AK 47, utafikiri majangiri walikuwa wanauwa tembo ili kuchukua pembe zake.

Msando akamtetee sasa mwanachama wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiambiwa wewe ni zwazwa unarusha ngumi hewani
Ndugu zangu,

Nimejikuta nacheka, nikajiuliaza nini maana ya maneno ''no hate no fear'' nikagundua huenda Mashinji ndiye mtunzi wa slogan ya ''No hate no fear''. Hofu ya Mbowe kwa mashinji inatokana na nini?

Kuna haja ya CHADEMA kutengeneza slogan mpya sababu hii ya 'no hate no fear' hamuiamini baada ya Mashinji kuondoka?

Kwanini anamkwepa Mashinji?

In God we Trust
 
Mbowe anamwogopa Mashinji? Rubbish angemwogopa angemwacha na kumchagua J J Mnyika? Huyo Mashinji anaenda kama bolizozo huwezi hata kukubali kama ni Dr. by professional utadhani msukuma mkokoteni au muuza mayai stand
 
Whatever you do, people will always have an opinion.
 
Kweli tumbo ni mfalme, yaani unawatosa wenzako sababu ya lishe aka kushiba...laah
 
Behaviourist,
Mallya mshitakiwa no 6 ni boss wako mpya unaweza shangaa Dipipii akaingia kwa pirato kumtetea kwamba hakuwepo eneo la tukio..acha kabisa
 
Behaviourist,
Kukataa kumpa Mkono ndiyo Ustaarabu na Ukomavu wa Kisiasa wa Mtu makini kama Mbunge Halima Mdee? Siasa si Uadui na hiki Kitendo alichofanya Mbunge Halima Mdee ni cha Kipuuzi kuliko maelezo na nasikitika huku nikishangaa pia kuona wapo Watu wanampongeza.

Tusisahau kuna Maisha nje ya Siasa na hizi Demokrasia na labda Mbunge Mdee nae atuambie na atuhakikishie je, na Yeye akihama CHADEMA Watu aliokuwa nao CHADEMA wamnunie au wamsusie?

Kama Mbunge na Msomi makini kwa Kitendo hiki cha Kishamba na Kijinga amejishushia mno Hadhi yake. Kwahiyo Mbunge Mdee ndiyo ana Machungu zaidi na CHADEMA kuliko hao Wabunge wenzake wote waliompa mkono wa Salamu Dkt. Mashinji na hata wana CHADEMA waliokuwepo hapo Mahakamani hii leo? Waafrika tuna taabu sana hata kama tumebahatika kwenda Shule kutoa Upumbavu wetu.
Hujui kwamba siasa tanzania ni uadui uliojengwa na CCM, umesahau kwamba siasa ndo zilisababisha Tundu Lissu akapigwa risasi. Huo upumbavu unaousema ungeanza kuwaeleza wenzio CCM walioanzisha.
 
Back
Top Bottom