Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

Kuna mtu alikataa mkono wa Rais wa nchi Fulani na maisha yakaendelea sembuse mkono wa mwanaharakati?

Hakika Masinji alipokuwepo awali sipo alipotakiwa kuwepo ,kazungukwa na watu wasiopenda mafanikio ya wengine. Kwa umri ,elimu na uzoefu wa Mashinji ,kuachwa bila jukumu lolote ni aibu na fedheha huku wanaharakati wakiula
Mwajiri wewe!
 
Mdee mshamba tu, hajui kuwa kuna maisha nje ya siasa!
Ndiyo maana muda wote kavaa gwanda!
Mashinji hakuzaliwa chadema,amejiunga juzi juzi, sasa shida nini!
 
Yaani hata soni haoni.. Kuna wakati japo wanasema we have to be professionals and not to take things personal, ila kwa huyu Mashinji aisee hapana..
 
Back
Top Bottom