Lissu alipigwa risasi nyingi hadharani kwa amri ya Magufuli- kisa siasa.
Lissu alipigwa risasi nyingi hadharani kwa amri ya Magufuli- kisa siasa.
Halima kanifurahisha Ile mbaya, hamna kumpa mshamba mkono, ampe mkono ili iweje. Ilitakiwa wote wasimpe mkono ili ajihisi choo.
Kabisa yaani kuna ujinga fulani wa ajabu, upande ule wanafanya siasa bila kizuizi, upande mwingine wazuiwa hovyo hovyo, halafu wanasema kuna demokrasia na eti siasa sio uadui, sijui maendeleo hayana upuuzi gani vileYakifanyika upande huu, wanasema siasa sio uadui lakini kwa upande waio wanafanya siasa ni uadui, lini mtasimama na ukweli mnao amini ili wengine waige kutoka kwenu?
Kwahiyo mkono wa halima una faida gani?
Mdee mbaka aolewe au aoe ndipo akiliyake Itatulia kwasasa yupo kwenye foolish age. Tuta shuhudia mambo mengi ya ajabu kutoka kwake Ni kama Fatuma Karume ukiwa huna mahusiano yanayo eleweka akili inakosa utulivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
na mata....o yamemlegea !Daah ila usaliti ni mbaya sana... angalia DK Mashinji alivyokosa pose mbele ya wenzie. Yaani uso umejaa haya na macho hata kutazama anaona Aibu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unadhani kuondoka kwa SG wa chama, mchezo?
dawa ya wasaliti ni kuwaonyesha tu tena kama anaduka hata kununua vitu kwake hapanaAliyekuwa katibu mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji alivyoingia mahakamani Kisutu leo, Mbunge Halima Mdee akataa kumsalimia.
Mashinji na viongozi nane wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwamo ya kula njama, kufanya mikusanyiko na maandamano yasiyo halali na ya uchochezi wa uasi.
Update:
Wakati huohuo wakili John Mallya amejitoa kumtetea mshtakiwa namba 6 Dr Mashinji.
Credit :Mwananchi official
Soma: News Alert: - Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM
View attachment 1367750
congole kwa Wakili msomi John Malya wamtetee ccm hakuna kucheka na msalitiAliyekuwa katibu mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji alivyoingia mahakamani Kisutu leo, Mbunge Halima Mdee akataa kumsalimia.
Mashinji na viongozi nane wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwamo ya kula njama, kufanya mikusanyiko na maandamano yasiyo halali na ya uchochezi wa uasi.
Update:
Wakati huohuo wakili John Mallya amejitoa kumtetea mshtakiwa namba 6 Dr Mashinji.
Credit :Mwananchi official
Soma: News Alert: - Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM
View attachment 1367750
Daah ila usaliti ni mbaya sana... angalia DK Mashinji alivyokosa pose mbele ya wenzie. Yaani uso umejaa haya na macho hata kutazama anaona Aibu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumnyima mtu mkono humpunguzii chochote na wala hujamkomoa
dawa ya wasaliti ni kuwaonyesha tu tena kama anaduka hata kununua vitu kwake hapana
Mdee mshamba tu, hajui kuwa kuna maisha nje ya siasa!
Ndiyo maana muda wote kavaa gwanda!
Mashinji hakuzaliwa chadema,amejiunga juzi juzi, sasa shida nini!
Kwani kukataa kumpa mtu mkono ni uadui? Mi sioni shida kwakweliSiasa siyo uadui lakini!
Mkuu, unauhakika..??Lissu alipigwa risasi nyingi hadharani kwa amri ya Magufuli- kisa siasa.
Childish and rubbish! Unashindwa kumpa mtu mkono uliyekuwa naye ktk uongozi kwa sababu ya kuhama chama! Hiyo ni ndoa? Bangi kichwani tu!Aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji alivyoingia mahakamani Kisutu leo, Mbunge Halima Mdee akataa kumsalimia.
Mashinji na viongozi nane wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwamo ya kula njama, kufanya mikusanyiko na maandamano yasiyo halali na ya uchochezi wa uasi.
Update:
Wakati huohuo wakili John Mallya amejitoa kumtetea mshtakiwa namba 6 Dr Mashinji.
Credit :Mwananchi official
Soma: News Alert: - Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM
View attachment 1367750
Another stupidity! Unajiandikia bila hata uthibitisho!Lissu alipigwa risasi nyingi hadharani kwa amri ya Magufuli- kisa siasa.