Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

Mzukulu,
Nyerere Alikataa kumpa mkono ameen kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za wenziwe

Jee yeye unasemaje ?
amin nyerere.jpg
 
Ni unafiki kupokea mkono kwa mtu ambaye humpendi bora muonyeshe wazi kwamba sitaki mazoea ili siku nyingine hasikuzoee. Halafu wanafiki walivyo wewe unaanzaje kusalimia watu uliowasaliti. Lazima mkono wako unapokuja kuutoa kusalimia uende na nia yako iliyoko moyoni
Mnataka mfanye sias vita... Nyie chadema na ccm mnaweza uana kisa hayo mavyama... Kwa wenzetu mbona haipo hivyo... Africa tumerogwa sio bure.
 
Alafu wenyewe ndio wanaongoza kwa kuubili Aman na upendo katika siasa na kulaum serekal inaminya uhuru wa watu pia inachukia watu embu niulize Salam inamakosa gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala wafurahie sasa kesi inaenda kwisha wana nuna tena.

Na hapo Mdee angekuwa wa kwanza na Ester asingetoa mkono.
 
Back
Top Bottom