Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

Una mana gani Sasa hapa. Sio kingereza BALI hiyo is real and not two faced woman/politician.

Hivi huwa Mnaelewa kweli mnavyoandika. Alichofanya Ni Utoto. Ni ukosefu wa ukomavu. Hasa ukizingatia yeye Ni „kwa maneno“ Ni kamanda wa Freedom of Expression na Demokrasia“. Hapo Ni UNAFIKI IN THE STRICT MEANING OF THE WORD.

Sometimes we need to grow up and stop laying down arguments that are contradicting themselves.

..Je, kukataa kumpa mkono Dr.Mashinji si ni kwamba Mh.Mdee anatumia uhuru wake -- freedom of expression?

..Kwanini tumlazimishe kushikana mkono au kuzungumza na Dr.Mashinji? Tukifanya hivyo hatutakuwa tunaingilia uhuru wake kweli?
 
Ni juzi tu wameanzisha slogan ya no hate no fear. Ila inaonekana wengi kwenye hicho chama hawaelewi hata slogan waliyoiasisi wenyewe. Yawezekana hawakushirikishwa kuiasisi ila wanafata mkumbo tu kuinadi. Na kumbe inawauma wanavyokimbiwa ee. Na bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alichokifanya Mdee ni Involuntary act.

Watu wanakufa, watu wanatekwa watu wanapoteza biashara alafu unaniletea kitambi mbele kama mfuko wa mashine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
walimtukana Lowassa matusi ya kila aina lakini baadae wakaa naye meza moja na kuzunguka naye lakini mwishoni aliwatosa Halima Mdee bado mshamba wa siasa
 
..ccm nao si walimtukana Lowassa?

..umesahau ccm walisema Lowassa alipofika Chato alijinyea ktk mkutano wa kampeni?

..unakumbuka Polepole alivyomtukana Lowassa alipofanya mahojiano na ktk kipindi cha TV?

..sasa wako wapi wana ccm waliokuwa wakimtukana matusi ya nguoni Mzee Lowassa?
 
hoja inamhusu Halima Mdee ikija hoja ya ccm nao tutawazungumzia
 
Ni kawaida ya wanawake, wanazira hata kwa vitu visivyo na msingi.
 
Ni mahakamani kwa Hakimu Mkazi. Wote walikuwepo hapo kwa ajili ya kesi ya uchochezi inayowakabili.

What say you? Fair or foul for Mdee to refuse to shake Mashinji’s hand?

Awkward: Nancy Pelosi alikataa kumpa mkono Donald Trump.

Kutompa mtu mkono in public ni ishara tu ya kutokukubaliana kimtazamo. Inaruhusiwa.

Ndio maana sometimes huwa kuna handshake [emoji1666][emoji1666] kinyume chake ni sawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani katiba y Tanzania inasemaje?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Una mana gani Sasa hapa. Sio kingereza BALI hiyo is real and not two faced woman/politician.

Hivi huwa Mnaelewa kweli mnavyoandika. Alichofanya Ni Utoto. Ni ukosefu wa ukomavu. Hasa ukizingatia yeye Ni „kwa maneno“ Ni kamanda wa Freedom of Expression na Demokrasia“. Hapo Ni UNAFIKI IN THE STRICT MEANING OF THE WORD.

Sometimes we need to grow up and stop laying down arguments that are contradicting themselves.
Nyinyi wanafki mtakuwa na moto wenu siku hiyo
 
Ni juzi tu wameanzisha slogan ya no hate no fear. Ila inaonekana wengi kwenye hicho chama hawaelewi hata slogan waliyoiasisi wenyewe. Yawezekana hawakushirikishwa kuiasisi ila wanafata mkumbo tu kuinadi. Na kumbe inawauma wanavyokimbiwa ee. Na bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliosoma shule dhana ya "harakati za kupinga"-PROTEST tunaelewa. Ujumbe hufikishwa kwa namna mbali mbali.Kugomea kitu ni moja wapo. Mdee kafikisha ujumbe kwa "betrayor".
 
Una mana gani Sasa hapa. Sio kingereza BALI hiyo is real and not two faced woman/politician.

Hivi huwa Mnaelewa kweli mnavyoandika. Alichofanya Ni Utoto. Ni ukosefu wa ukomavu. Hasa ukizingatia yeye Ni „kwa maneno“ Ni kamanda wa Freedom of Expression na Demokrasia“. Hapo Ni UNAFIKI IN THE STRICT MEANING OF THE WORD.

Sometimes we need to grow up and stop laying down arguments that are contradicting themselves.
Hebu mshauri anayedai "maendeleo hayana chama" aache utoto na undumila kuwili.
 
Back
Top Bottom