The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Kama isingekuwa vita ..... Wapinzani wasingekuwa wanashinda Mahakamani na kuozea Mahabusu!!
Kama isingekuwa vita ..... Wapinzani wasingekuwa wanashinda Mahakamani na kuozea Mahabusu!!
Lisu alipigwa risasi kutoka kwenye bunduki za kivita
Wafuasi wa chama kipya utawajua tuNasikia chadeema wanaomba ucku kucha nzige waingie tanzania ! Mungu nae cyo lema zikifika nchi za EAC anazifukuzia mbari.
Basi chadeema wanachukia haoo!
Kabla hajawa katibu mkuu alikuwa nani huko CCM?Kuna mtu alikataa mkono wa Rais wa nchi Fulani na maisha yakaendelea sembuse mkono wa mwanaharakati?
Hakika Masinji alipokuwepo awali sipo alipotakiwa kuwepo ,kazungukwa na watu wasiopenda mafanikio ya wengine. Kwa umri ,elimu na uzoefu wa Mashinji ,kuachwa bila jukumu lolote ni aibu na fedheha huku wanaharakati wakiula
Umejuaje habari ya wivu na hapo haipo, mmeshea Bwana nini?Mdee anawivu sana
Tujulisheni faida za Maalim seif kumnyima Rais shein mkono
Na faida ya kumpa mkono inafahamika?Mdee anawivu sana
Tujulisheni faida za Maalim seif kumnyima Rais shein mkono
Sina uhakika sana, lakini niliambiwa maana yake ni machicha au makapi.nasikia maana ya mayala ni njaa vipi kuhusu maana ya mashinji
Na faida ya kumpa mkono inafahamika?
Ni fahari kubwa kuwa na mwanamke jasiri kama Halima Mdee. Binadamu ni vema kuwa mkweli na mtii kwa nafsi yako.
Vizazi na vizazi vitasimulianaWapinzani kwa vituko hawajambo
Vipi maalim seif alipomnyima mkono Rais wa Zanzibar alipata nn
Vizazi na vizazi vitasimuliana
Za kutosalimia mwizi wa kura .na waangalizi wote walikiriWatasimulia tabia za kijinga?
Nyerere alikataa hata kuongea na Idd Amin kwa sababu Idd Amin alikuwa muuaji!