Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

Huyo ni Mwanamke lakini hivyo huwezi sababu ya kumnunia Mashinji
 
Kwa sababu n mwanamke wala sioni tatizo hapo japo uanamke wake una confusion kidogo ila staki kugusia hilo
 
Yaani Chadema kumpokea Lowasa siyo usaliti Ila Mashinji kwenda CCM ndo uwe usaliti?

By the way, Mwenyekiti Mbowe si ameomba maridhiano, Sasa mbona Mdee ana kinyongo kwa mwanachama wa CCM?
 
Kwa wale wanaodai demokrasia waelewe pia inahusu raia kujiunga na chama chochote kile anachotaka, demokrasia haitakiwi iwe ya upande mmoja bali pande zote iwe kwa chama tawala au kinzani...ama sivyo itakuwa UNAFIKI TU...
Na pia demokrasia ni kufanya unachotaka pasipo kuvunja sheria a nchi, Mdee naye yupo sahihi maana siyo lazima uitikie salamu ya mtu na hakuna sheria inayokubana kwa kitendo hicho. Kwangu Halima Mdee katumia demokrasia inavyotakiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana matatizo sana huyu mwanamke
bora angekuwa Nungayembe asingekuwa na wivu
Siasa kwake ni ugomvi anataka ashinde yeye tu
 
Wengi tumeisoma kwamba alikuwa bado anahitajika sana sana Chadrama.. na labda alimupenda pia akategemea atakuja kuwa mume yake.. hakuna sifa bali kajitia aibu yeye.. ya nyuma ya pazia lazima yapo.. angelikuwa ni hafai.. yeye tusingeona anatenda hayo.. muwee munafikiria nje ya boksi
 
Nilifurahishwa sana na kitendo cha Halima Mdee kumnyima mkono hadharani msaliti Vicent Mashinji pale mahakama ya Kisutu jana wakati makamanda hao walipofika katika mwendelezo wa kusikilizwa kesi yao.

Wasaliti kama Mashinji hawafai kuendelea kufumbiwa macho, lazima wakataliwe hadharani, wasutwe, wazomewe na wazodolewe.

Hawa ni viongozi uchwara, njaa, wachumia matumbo na wenye tamaa ya madaraka!

Shame on you Mashinji!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhama ni kusaliti? Mbona CHADEMA walitembea nchi nzima kumnadi Lowasa? Au kusaliti ni kuhama CHADEMA? Wamekwisha! Na hao 11 wa Mbeya kwa mpigo! Baadaye mutagoma kusalimiana na nchi nzima.
 
Japokuwa haipendi maamuzi ya mwana kuhama CDM tena akiwa tayari amefika nafasi nyeti kama ile ya katibu mkuu...lakni maamuzi ya sauti ya zege kukataa kumpa mkono ni undezi na mwonekano wa kutokuwa na ukomavu wa kisiasa...na hii ni chuki ya wazi kabisa...

Siasa ni ajira kama ajira nyingine...swala la mtu kuhama ni lake kisheria...ndo maana kuwa free movement of peoole from one party to anaother...

Ovaaaaa
 
Wengi tumeisoma kwamba alikuwa bado anahitajika sana sana Chadrama.. na labda alimupenda pia akategemea atakuja kuwa mume yake.. hakuna sifa bali kajitia aibu yeye.. ya nyuma ya pazia lazima yapo.. angelikuwa ni hafai.. yeye tusingeona anatenda hayo.. muwee munafikiria nje ya boksi

😂😂😂😂....Eti nini....chadramaaa....kweli watu na sana zao...pengine ni kweli sauiti ya zege alikuwa amelaza roho yake pale halafu mtu mzima akazingua...

This is just a joke...the guy is merried ...
 
Ana matatizo sana huyu mwanamke
bora angekuwa Nungayembe asingekuwa na wivu
Siasa kwake ni ugomvi anataka ashinde yeye tu
Siasa ni ngumu mkuu...kuna mambo na siri nini huwa wanazungumza sasa kuhama ni kana anaenda kumwaga wote kule
 
Hivi kuna mtu amesharibu pengine hata kuwaza pengine hii hama hama nao ni mpango wa kupandikiza wanafiki ili kuchunguza yanayoendelea baina ya vyama...

As we all know politics is dirty game......vyama vinavyopokea watu kutoka opposition vinatakiwa kuwa makini lasivyo itakuwa ndo downfall yao..

OVAAAA
 
Zama hizi Viongozi wa Kike wana misimamo kuliko hawa wa Kiume.

Wameonyesha udhaifu mkubwa sana .

Na ipo siku watalipia gharama za usaliti wao.
 
Back
Top Bottom