Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

Dawa ya wasanii wa kisiasa ndiyo hiyo...unapewa dhamana kubwa..watu wanauawa, watu wanapotea then two days eti unarudi kula matapishi yako...shame!!

Hongera Mdee - hawa watanguliza matumbo dawa yao ndiyo hiyo.
 
Ni juzi tu wameanzisha slogan ya no hate no fear. Ila inaonekana wengi kwenye hicho chama hawaelewi hata slogan waliyoiasisi wenyewe. Yawezekana hawakushirikishwa kuiasisi ila wanafata mkumbo tu kuinadi. Na kumbe inawauma wanavyokimbiwa ee. Na bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku mkuu alisema msaliti anatakiwa kuuwawa kabisaa.

Huyoo angetakiwa amtemee na mate kabisaa.

Wewe hujui changamoto wapinzan wanapitia, wamewapambania wakawa na majina mpka ccm wakatokwa na mate kuwahonga unajua Ni mateso kiasi gani huwa wanapitia???

Huo mkono unaulazima gani? salamu tu inatosha.
Siku mdee atahama hilo boti hamtasalimiana?boti likiyumba mdee anachoropoka thats real
 
Ni "muuaji"-Msaliti. Siwezi kumpa mkono wangu mtu msaliti! aliyetusaliti. Nyani, we are different! mwingine anakuta mke wake amelala na mwanaume anasema mke wangu usirudie, mwingine kama hajakuua, basi ndoa inaishia hapo. We are different

Kamuua nani?
 
Miongoni mwa vitu vinavyonishangaza kabisa kwa mtanzania ni uwezo mdogo wa kujitathmini na kujisahihisha penye mapungufu.

Inawezekanaje watu wengi namna hiyo wawahame halafu suluhisho lake liwe kuwachukia wahamaji au kule wanakohamia?

Inawezekanaje usijitathmini kwamba wewe ndio inawezekana una mapungufu?

Muda ni mwalimu mzuri sana. Kama watu walio nje ya siasa kama mimi tumeng'amua kuwa nyuma ya upinzani kuna ubinafsi wa ajabu, mnadhani suluhisho la udhaifu wa upinzani ni kuwalaumu wanaowahama?
 
Ni mahakamani kwa Hakimu Mkazi. Wote walikuwepo hapo kwa ajili ya kesi ya uchochezi inayowakabili.

What say you? Fair or foul for Mdee to refuse to shake Mashinji’s hand?


That's normal. Hata Trump alikataa mkono wa Nancy. It's all about feelings!!!!
 
Kuna siku mkuu alisema msaliti anatakiwa kuuwawa kabisaa.

Huyoo angetakiwa amtemee na mate kabisaa.

Wewe hujui changamoto wapinzan wanapitia, wamewapambania wakawa na majina mpka ccm wakatokwa na mate kuwahonga unajua Ni mateso kiasi gani huwa wanapitia???

Huo mkono unaulazima gani? salamu tu inatosha.
Alipokuwa anasema msaliti anatakiwa kuuawa na siku hio hio Tundu akapopolewa na risasi za kutosha
 
..Halima Mdee is real.

..She is not two faced.

Una mana gani Sasa hapa. Sio kingereza BALI hiyo is real and not two faced woman/politician.

Hivi huwa Mnaelewa kweli mnavyoandika. Alichofanya Ni Utoto. Ni ukosefu wa ukomavu. Hasa ukizingatia yeye Ni „kwa maneno“ Ni kamanda wa Freedom of Expression na Demokrasia“. Hapo Ni UNAFIKI IN THE STRICT MEANING OF THE WORD.

Sometimes we need to grow up and stop laying down arguments that are contradicting themselves.
 
Back
Top Bottom