MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,444
- 10,687
Katika maswali aliyoulizwa kihiyo Kama kweli aliwahi kusoma hapo DIT akaambiwa amtaje japo mwalimu mmoja au mwanafunzi mmoja ambaye alifundisha au alisomanae hapo jamaa akajibu hamkumbuki hata mmoja 😄😄😄😄😄Naam,nakumbuka uchaguzi wa mdogo wa Temeke mwaka 1996..pale Mwembe Yanga Kuna uzushi ulitokea kuwa CCM wameficha kura ofisi ya mtaa,jamaa ilibidi waingie yeye na Makongoro Hadi darini kuzisaka kura feki!
Vijana wa CCM tulikuwa na wakati mgumu Sana Uchaguzi !
Kabla ya Happ alikuwa amemtesa Mahakamani Ramadhan Kihiyo ,mwanafunzi hewa wa DIT mwaka1973!
Alimuuliza Kihiyo "nitajie jina la headmaster wa Ifunda Tech and Sec School" "jina la mwanafunzi mwenzio mliyesoma naye" Kihiyo akabaki kuangalia viatu vyakeKatika maswali aliyoulizwa kihiyo Kama kweli aliwahi kusoma hapo DIT akaambiwa amtaje japo mwalimu mmoja au mwanafunzi mmoja ambaye alifundisha au alisomanae hapo jamaa akajibu hamkumbuki hata mmoja [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ni huyu pekee ambaye alinifanya nitembee kutoka Kibangu mpaka Kibo kwenda kumpigia kura ya ubunge na Mrema kura ya uraisMwanasheria nguli, Msomi Kindakindaki aliyeichachafya CCM Hadi ikatia NIDHAMU.
Rest in eternal peace
Ni huyu pekee ambaye alinifanya nitembee kutoka Kibangu mpaka Kibo kwenda kumpigia kura ya ubunge na Mrema kura ya urais
Jr[emoji769]
Huyo Kihiyo anaonekana alikuwa fala sana hadi kupelekea jina lake kutumika kuwakilisha mpuuzi yeyote katika maisha yetu ya kila siku...Nakumbuka katika kipindi cha ukuaji nilisikia mara kadha watu wakitumia neno "kihiyo" kama kejeli kwa mtu ambaye anafanya vitu pasi na kutumia akili ama kipuuzi.Alimuuliza Kihiyo "nitajie jina la headmaster wa Ifunda Tech and Sec School" "jina la mwanafunzi mwenzio mliyesoma naye" Kihiyo akabaki kuangalia viatu vyake
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe nakufahamu , kama Kibangu! na Kibo maana nimekaa pale tangu 1971. Baa maarufu ilikuwa Kibo! Tours and hunters Club etcNi huyu pekee ambaye alinifanya nitembee kutoka Kibangu mpaka Kibo kwenda kumpigia kura ya ubunge na Mrema kura ya urais
Jr[emoji769]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wanasheria mtaisha. Bado kina Petro E. Mselewa na Ruttashobolwa na mkongwe wao Pascal Mayalla.
Inaonekana huyu jamaa nyama yenu inamvutia sana...hahahahaaa just utani msije nitoa macho.
Selasini sasa utoke bungeni ukazike. Au bado unaendelea kutumikia wananchi?
Mambo sio kwa wasomi mawakili hizi wiki za karibuni. Tumefiwa sana
Kumbe! WamefananaRIP kaka yake Mbunge wa Rombo aliyeamua kuhama chama baada ya kuondolewa kwenye kundi Sogozi la WhatsApp...