TANZIA Dkt. Masumbuko Lamwai afariki dunia

TANZIA Dkt. Masumbuko Lamwai afariki dunia

Naam,nakumbuka uchaguzi wa mdogo wa Temeke mwaka 1996..pale Mwembe Yanga Kuna uzushi ulitokea kuwa CCM wameficha kura ofisi ya mtaa,jamaa ilibidi waingie yeye na Makongoro Hadi darini kuzisaka kura feki!
Vijana wa CCM tulikuwa na wakati mgumu Sana Uchaguzi !
Kabla ya Happ alikuwa amemtesa Mahakamani Ramadhan Kihiyo ,mwanafunzi hewa wa DIT mwaka1973!
Katika maswali aliyoulizwa kihiyo Kama kweli aliwahi kusoma hapo DIT akaambiwa amtaje japo mwalimu mmoja au mwanafunzi mmoja ambaye alifundisha au alisomanae hapo jamaa akajibu hamkumbuki hata mmoja 😄😄😄😄😄
 
Katika maswali aliyoulizwa kihiyo Kama kweli aliwahi kusoma hapo DIT akaambiwa amtaje japo mwalimu mmoja au mwanafunzi mmoja ambaye alifundisha au alisomanae hapo jamaa akajibu hamkumbuki hata mmoja [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Alimuuliza Kihiyo "nitajie jina la headmaster wa Ifunda Tech and Sec School" "jina la mwanafunzi mwenzio mliyesoma naye" Kihiyo akabaki kuangalia viatu vyake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni huyu pekee ambaye alinifanya nitembee kutoka Kibangu mpaka Kibo kwenda kumpigia kura ya ubunge na Mrema kura ya urais

Jr[emoji769]

Mimi nilikesha Kimara Korogwe kulinda kura zake na za Lyatonga.

Baadaye kuja kugundua ni mapandikizi ya Serikali Upinzanini, nikaachana na kushabikia siasa kabisa.

Sitakuja kumuamini mwanasiasa katika maisha yangu yote?
 
Alimuuliza Kihiyo "nitajie jina la headmaster wa Ifunda Tech and Sec School" "jina la mwanafunzi mwenzio mliyesoma naye" Kihiyo akabaki kuangalia viatu vyake

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Kihiyo anaonekana alikuwa fala sana hadi kupelekea jina lake kutumika kuwakilisha mpuuzi yeyote katika maisha yetu ya kila siku...Nakumbuka katika kipindi cha ukuaji nilisikia mara kadha watu wakitumia neno "kihiyo" kama kejeli kwa mtu ambaye anafanya vitu pasi na kutumia akili ama kipuuzi.

Mfano: "Wewe mbona unafanya mambo kama Kihiyo?"

🤣🤣🤣🤣🤣 mwenye picha ya kihiyo tafadhali mie nimejifunza kitu leo. RIP mwanasheria nguli Dkt Lamwai
 
Siku haishi kila siku lazima watu maarufu 1-5 lazima wafe je wale ambao mimi na wewe hatuwajui je itakuwa ni wangapi wanakufa?
 
Mambo sio kwa wasomi mawakili hizi wiki za karibuni. Tumefiwa sana
20200505_063101.jpg
 
Back
Top Bottom