MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,444
- 10,687
Katika maswali aliyoulizwa kihiyo Kama kweli aliwahi kusoma hapo DIT akaambiwa amtaje japo mwalimu mmoja au mwanafunzi mmoja ambaye alifundisha au alisomanae hapo jamaa akajibu hamkumbuki hata mmoja 😄😄😄😄😄Naam,nakumbuka uchaguzi wa mdogo wa Temeke mwaka 1996..pale Mwembe Yanga Kuna uzushi ulitokea kuwa CCM wameficha kura ofisi ya mtaa,jamaa ilibidi waingie yeye na Makongoro Hadi darini kuzisaka kura feki!
Vijana wa CCM tulikuwa na wakati mgumu Sana Uchaguzi !
Kabla ya Happ alikuwa amemtesa Mahakamani Ramadhan Kihiyo ,mwanafunzi hewa wa DIT mwaka1973!