Mimi niliachana na CCM mwaka 1984 baada ya vita ya uhujumu uchumi kutumika vibaya... Kama familia tuliathiriwa na maamuzi ya visasi na kukomoana..Mzee umeanza upinzani siku nyingi. Sasa naelewa kweli hii ni roho,hata akina Mbowe wahame utabaki tu.
Sent using iphone pro max
Mzee makassy na Ochestra Makassy.... cheza miziki sana pale ... Orchstra Maquis White house /Savanah!Most likely tumeshawahi kukutana.. Umenikumbusha hunters
Jr[emoji769]
Mkuu covid haipo tena ni maabara zilikuwa zinatumiwa na mabeberu.At least sijasikia neno covid 19 tangu nianze kusoma comments za uzi huu. Mungu awafariji wafiwa wote.
Jirani na kibo bar kuna nyumba pembeni ya Mke wa Lyatongawewe nakufahamu , kama Kibangu! na Kibo maana nimekaa pale tangu 1971. Baa maarufu ilikuwa Kibo! Tours and hunters Club etc
napafahamu sanaJirani na kibo bar kuna nyumba pembeni ya Mke wa Lyatonga
Mitaa yetu ya zamani kuanzia hunters kuelekea msewe kanisaninapafahamu sana
Ni kweli ila aliharibu kuingia siasa .Alikuwa Ni meanasheria mahiri ambaye alikuwa na wateja wenginkuliko wakili yeyote Tanzania kabla ya kujiunga na siasa .Kuingia ofisii yake tu ulikuwa unalipia pesa siio kidogo. Sio za kumuona Bali za kueleza shida yako mapokezi ili ishugulikiweMwanasheria nguli, Msomi Kindakindaki aliyeichachafya CCM Hadi ikatia NIDHAMU.
Rest in eternal peace