TANZIA Dkt. Masumbuko Lamwai afariki dunia

Kiongozi usemacho ni ukweli usio na chembe ya mashaka
 
Malizieni wasifu wa marehemu :-
NINI KIMEMUUA ILI TUPAMBANE NACHO
 
Nccr ilivurugwa na Mrema na huyu mdogo wake Mbatia!
 
Msewe kanisani kuna mama mmoja marehemu alikuwa Mganda ameolewa na mzungu, akampa kighorofa kidogo kijana mmoja wa kihaya baada ya kurudi Uganda
Huyo kijana mdogo wa kihaya ndio wewe?

Shalom.......shalom!
 
Mbuyu wa Sheria za Jinai Africa Mashariki umeanguka

Kwaheri mwana Kunduchi Mtongani, Kwaheri ya kuonana Swahiba wangu wa Kichaga ambae hukuwa na roho ya Kichaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni miongoni mwa wanasiasa walioisisimua sana Tanzania miaka ya tisini. Mungu ampumzishe kwa amani, amina.
Kwa hakika alisisimua sana alipokuwa upinzani. Alipohamia CCM akawa bubu!. Poleni sana wanafamilia. Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe.
 
Mbona alikua anaendelea na kazi ya uwakili na kufundisha chuo cha tumaini ameanzia tangu chuo cha Tumaini kikiwa uhamiaji kurasini hadi kilivyohamia mwenge ni mwalim wa sheria pale na amepika vijana wengi mnooo
 
RIP Dr Lamwai. Ulipotea Sana kwenye ulimwengu wa Siasa. Kila nikipita Barabara ya Tandale kwa mtogole Hadi Sinza Kijiweni nakumbuka ulivyoasisi hiyo Barabara. Hakika Ilikuwa Mwamba wa Siasa za Mageuzi Enzi hiyo ya 1995-2000.
 
Alikua mwalim wa sheria chuo cha Tumaini Dar es Salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…