TANZIA Dkt. Masumbuko Lamwai afariki dunia

TANZIA Dkt. Masumbuko Lamwai afariki dunia

Death bed ya wanasiasa wengi wa upinzani ni ccm. Huyu bwana sawa na wengine wote wanaotoka upinzani na kuhamia ccm wanapofika huko ndio inakuwa mwisho wao kisiasa.

Huyu bwana alipokuwa upinzani alikuwa ni moto wa kuotea mbali sawa tu na alivyo Lissu leo hii lkn nyota yake ilizimika tu pale alipohamia ccm kiasi kuwa wengine tulifikiri aliishakufa kitambo, kumbe alikuwa bado angali hai..!!

Anyway, ccm ndio kaburi la wanasiasa wa upinzani na bado wakienda huko watazidi kufa tu kisiasa. RIP, hata hivyo.
Kiongozi usemacho ni ukweli usio na chembe ya mashaka
 
Malizieni wasifu wa marehemu :-
NINI KIMEMUUA ILI TUPAMBANE NACHO
 
Timu ya NCCR ilikuwa kiboko baadae ikahujumiwa tukawapoteza tuliowaamini. Upinzani na WATU wenye mioyo ya kuamini haki na utengamano ktk jamii.
Tuka fubaa ndiyo maana mpk sasa hivi NCCR haina maana tena. Ni chama kilicho jaa wanasiasa wanafiki na waongo RIP Dr. Ila ushujaa wako uliishia kuwavunja moyo wapenda haki. Lala Kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nccr ilivurugwa na Mrema na huyu mdogo wake Mbatia!
 
Msewe kanisani kuna mama mmoja marehemu alikuwa Mganda ameolewa na mzungu, akampa kighorofa kidogo kijana mmoja wa kihaya baada ya kurudi Uganda
Huyo kijana mdogo wa kihaya ndio wewe?

Shalom.......shalom!
 
Mbuyu wa Sheria za Jinai Africa Mashariki umeanguka

Kwaheri mwana Kunduchi Mtongani, Kwaheri ya kuonana Swahiba wangu wa Kichaga ambae hukuwa na roho ya Kichaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni miongoni mwa wanasiasa walioisisimua sana Tanzania miaka ya tisini. Mungu ampumzishe kwa amani, amina.
Kwa hakika alisisimua sana alipokuwa upinzani. Alipohamia CCM akawa bubu!. Poleni sana wanafamilia. Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe.
 
Ni kweli ila aliharibu kuingia siasa .Alikuwa Ni meanasheria mahiri ambaye alikuwa na wateja wenginkuliko wakili yeyote Tanzania kabla ya kujiunga na siasa .Kuingia ofisii yake tu ulikuwa unalipia pesa siio kidogo.Sio za kumuona Bali za kueleza shida yako mapokezi ili ishugulikiwe...
Mbona alikua anaendelea na kazi ya uwakili na kufundisha chuo cha tumaini ameanzia tangu chuo cha Tumaini kikiwa uhamiaji kurasini hadi kilivyohamia mwenge ni mwalim wa sheria pale na amepika vijana wengi mnooo
 
RIP Dr Lamwai. Ulipotea Sana kwenye ulimwengu wa Siasa. Kila nikipita Barabara ya Tandale kwa mtogole Hadi Sinza Kijiweni nakumbuka ulivyoasisi hiyo Barabara. Hakika Ilikuwa Mwamba wa Siasa za Mageuzi Enzi hiyo ya 1995-2000.
 
Death bed ya wanasiasa wengi wa upinzani ni ccm. Huyu bwana sawa na wengine wote wanaotoka upinzani na kuhamia ccm wanapofika huko ndio inakuwa mwisho wao kisiasa.

Huyu bwana alipokuwa upinzani alikuwa ni moto wa kuotea mbali sawa tu na alivyo Lissu leo hii lkn nyota yake ilizimika tu pale alipohamia ccm kiasi kuwa wengine tulifikiri aliishakufa kitambo, kumbe alikuwa bado angali hai..!!...
Alikua mwalim wa sheria chuo cha Tumaini Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom