residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Nawapa pole Roman & Catherine.RIP Dr. Lamwai. Poleni wote mlioguswa na msiba huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawapa pole Roman & Catherine.RIP Dr. Lamwai. Poleni wote mlioguswa na msiba huu.
Hahahaaaaaa, nakufahamu basi jamaa.Raha ya milele Mungu ampe. He was best friend of my father.
Mzee umeanza upinzani siku nyingi. Sasa naelewa kweli hii ni roho,hata akina Mbowe wahame utabaki tu.Ni huyu pekee ambaye alinifanya nitembee kutoka Kibangu mpaka Kibo kwenda kumpigia kura ya ubunge na Mrema kura ya urais
Jr[emoji769]
Kote huko Savannah , kote humo ni kwangu. Tumecheza muziki sana pale Tour and Huntes kwa Mzee Makassy enzi hizo. (sasa amekaa Gwajima na utapeli).Mkuu Kibo ,mitaa gani ulikaa ( Rombo,Msikitini, jirani White House, Msewe,kona, hunters jirani na njia ya nyaya za umeme unoenda Zanzibar , mitaa ya kwa bibi Paka)? Yaani sehemu ipi hasa.
What might be the cause? Unajua advocates wanakutana na wateja wao uso kwa uso.... na mawakili kidogo pandemic imetengua kiasi. nisamehe Mungu!RIP Dr Lamwai
Jamaaa umewataja kabisaWanasheria mtaisha. Bado kina Petro E. Mselewa na Ruttashobolwa na mkongwe wao Pascal Mayalla.
Inaonekana huyu jamaa nyama yenu inamvutia sana...hahahahaaa just utani msije nitoa macho.
Selasini sasa utoke bungeni ukazike. Au bado unaendelea kutumikia wananchi?
Nafahamu mkuu ,hapo maji kwenye tangi pembeni kulikuwa na kauchochoro njia ya vumbi inaelekea kule nyuma kwa wajomba.Kote huko Savannah , kote humo ni kwangu. Tumecheza muziki sana pale Tour and Huntes kwa Mzee Makassy enzi hizo. (sasa amekaa Gwajima na utapeli). Kamanyola na Maquis pale Savvanah, White House. Kwa Manywele tulikuwa tunakula bia na nyma choma. Enzi hizo UDA ilikuwa inaishia Maji. Mitaa ya Chai unaifahamu?
yes, performance yake kisiasa iliweza kuonekana kwa vile then nchi ilikuwa inaongozwa soberly na viongozi wake hawakuwa na mtindio!Ni miongoni mwa wanasiasa walioisisimua sana Tanzania miaka ya tisini. Mungu ampumzishe kwa amani, amina.
Hali ni mbaya sana, watu wanaogopa hata kula mahotelini. Virus wanakaa kwenye surface kwa masaa nane. Hata kitasa cha mlango alichoshika muathirika ukikishika umeubeba.what might be the cause? Unajua advocates wanakutana na wateja wao uso kwa uso.... na mawakili kidogo pandemic imetengua kiasi. nisamehe Mungu!
Tangi si limefyekwa! Hakuna tangi tena kulikuwa na kanjia kanakwenda chuo cha maji enzi hizo kuna akina Kivugo! Idara ya maji unamfahamu nani wa zamani may be ambao wamekufa?Nafahamu mkuu ,hapo maji kwenye tangi pembeni kulikuwa na kauchochoro njia ya vumbi inaelekea kule nyuma kwa wajomba.
Lockdown is the necessary measure, sasa mkuu wetu hataki. Itasambaa sanaHali ni mbaya sana, watu wanaogopa hata kula mahotelini. Virus wanakaa kwenye surface kwa masaa nane. Hata kitasa cha mlango alichoshika muathirika ukikishika umeubeba.