mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
RIP msomi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni ndugu wa Selasini eehh? Wamefanana kweli.Wanasheria mtaisha. Bado kina Petro E. Mselewa na Ruttashobolwa na mkongwe wao Pascal Mayalla.
Inaonekana huyu jamaa nyama yenu inamvutia sana...hahahahaaa just utani msije nitoa macho.
Selasini sasa utoke bungeni ukazike. Au bado unaendelea kutumikia wananchi?
Sasa sisi tutajuaje mkuu?Mimi nilikesha Kimara Korogwe kulinda kura zake na za Lyatonga.
Baadaye kuja kugundua ni mapandikizi ya Serikali Upinzanini, nikaachana na kushabikia siasa kabisa,
Sitakuja kumuamini mwanasiasa katika maisha yangu yote?
Alikuwa anasisimua kwa sababu alipata platform ya kufanya hivyo kwenye awamu hii ya utawala angekuwa anasisimua segerea au kwenye kiroba Baharini.Ni miongoni mwa wanasiasa walioisisimua sana Tanzania miaka ya tisini. Mungu ampumzishe kwa amani, amina.
Mwanasheria nguli, Msomi Kindakindaki aliyeichachafya CCM Hadi ikatia NIDHAMU.
Rest in eternal peace
Ingawa sijawahi kufanya kazi Maji lakini namfahamu Mzee mmoja alikuwa family friend wetu Mzee Machange.Tangi si limefyekwa! Hakuna tangi tena kulikuwa na kanjia kanakwenda chuo cha maji enzi hizo kuna akina Kivugo! Idara ya maji unamfahamu nani wa zamani may be ambao wamekufa?
Mwote humo nimefanya kazi enzi za wanafunzi temporary employement wakati huo!Ingawa sijawahi kufanya kazi Maji lakini namfahamu Mzee mmoja alikuwa family friend wetu Mzee Machange.
Pianinachofahamu hapo palipokuwa panageuzia mabasi ya UDA nabaadaye zikaongezeka DALADALA , Kulikuwa na Ofisi za Serikali Idara ya Maji ,ambao walikuwa upande wa kulia ukitokea mjini.
upande wa pili wa barabara kulikuwa na gereji ya Tanesco, na mambo ya ukarabati wa njia za umeme. wao walikuwa wanapakana na Soko la vyakula la rejareja, na Ofisi ya Ujenzi Mkoa wa Dar es Salaam na Mzani wa kupimia magari uzito.
mbona balaa...
Utawajua kwa mienendo yao.Sasa sisi tutajuaje mkuu?
Hata mimi pia.. Baada ya kugundua ule USALITI sikuwahi tena kushabikia siasa kiasi cha kupoteza nguvu na muda wangu kwenda kupiga kura ama kuhudhuria mikutano yao ya kisiasaMimi nilikesha Kimara Korogwe kulinda kura zake na za Lyatonga.
Baadaye kuja kugundua ni mapandikizi ya Serikali Upinzanini, nikaachana na kushabikia siasa kabisa.
Sitakuja kumuamini mwanasiasa katika maisha yangu yote?
Most likely tumeshawahi kukutana.. Umenikumbusha hunterswewe nakufahamu , kama Kibangu! na Kibo maana nimekaa pale tangu 1971. Baa maarufu ilikuwa Kibo! Tours and hunters Club etc