TANZIA Dkt. Masumbuko Lamwai afariki dunia

TANZIA Dkt. Masumbuko Lamwai afariki dunia

Mimi nilikesha Kimara Korogwe kulinda kura zake na za Lyatonga.

Baadaye kuja kugundua ni mapandikizi ya Serikali Upinzanini, nikaachana na kushabikia siasa kabisa,
Sitakuja kumuamini mwanasiasa katika maisha yangu yote?
Sasa sisi tutajuaje mkuu?
 
Tangi si limefyekwa! Hakuna tangi tena kulikuwa na kanjia kanakwenda chuo cha maji enzi hizo kuna akina Kivugo! Idara ya maji unamfahamu nani wa zamani may be ambao wamekufa?
Ingawa sijawahi kufanya kazi Maji lakini namfahamu Mzee mmoja alikuwa family friend wetu Mzee Machange.

Pianinachofahamu hapo palipokuwa panageuzia mabasi ya UDA nabaadaye zikaongezeka DALADALA , Kulikuwa na Ofisi za Serikali Idara ya Maji ,ambao walikuwa upande wa kulia ukitokea mjini.

upande wa pili wa barabara kulikuwa na gereji ya Tanesco, na mambo ya ukarabati wa njia za umeme. wao walikuwa wanapakana na Soko la vyakula la rejareja, na Ofisi ya Ujenzi Mkoa wa Dar es Salaam na Mzani wa kupimia magari uzito.
 
Mwote humo nimefanya kazi enzi za wanafunzi temporary employement wakati huo!
 
Sasa sisi tutajuaje mkuu?
Utawajua kwa mienendo yao.

Mpaka ule mkutano wa mwisho wa Lyatonga pale viwanja vya shule ya Msingi Uhuru( sasa Ben Mkapa Secondary School) nilikuwepo wee acha tu.
 
Tulio baki tujihoji hasa ninyi mnaotusaliti walala hoi rudisheni mlivyowaibia walalahoi maana siku ya kurudi mavumbini hamtabeba kitu kwa kuwa hamkuja duniani na kitu
 
Poleni sana wafiwa,ndugu ,jamaa na marafiki.

Kigogo amesemaje kuhusu huu msiba?
 
Mimi nilikesha Kimara Korogwe kulinda kura zake na za Lyatonga.

Baadaye kuja kugundua ni mapandikizi ya Serikali Upinzanini, nikaachana na kushabikia siasa kabisa.

Sitakuja kumuamini mwanasiasa katika maisha yangu yote?
Hata mimi pia.. Baada ya kugundua ule USALITI sikuwahi tena kushabikia siasa kiasi cha kupoteza nguvu na muda wangu kwenda kupiga kura ama kuhudhuria mikutano yao ya kisiasa

Jr[emoji769]
 
wewe nakufahamu , kama Kibangu! na Kibo maana nimekaa pale tangu 1971. Baa maarufu ilikuwa Kibo! Tours and hunters Club etc
Most likely tumeshawahi kukutana.. Umenikumbusha hunters

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom