Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Awamu ya kwanza sio.... Enzi hizo kila mtu alizima sigara au alitulizwa..Angalau kuanzia ya pili, hata ya pili ilikuwa bado..Sana sana ya tatu na nne.. Upepo wake ulisha alivyoporwa demu ...
Kinje ameanza fujo na kuwa talk of the town miaka ta 90s Rais akiwa Mwinyi na akina Ipy Malecela
 
Du nakumbuka kipindi hicho. Kuna dada mmoja naye alikuwa ameahidiwa kupelekwa kufanya matangazo ya biashara lakini hakwenda.
 
Mkuu ungefanya kufunguka tu.

Cc mwasu

Njoo utudondoshe chochote huku.
 
Mkuu ungefanya kufunguka tu.

Cc mwasu

Njoo utudondoshe chochote huku.
Mkuu Mengi hakumchukua Jacky kwa Kinje, Mengi amemchukua Jacky akiwa hana bwana wa maana, alikuwa anajizungusha pale Kilimanjaro hotel, bi dada kutwa na maifile anakaa anajifanya yuko busy kumbe alikuwa anadanga, kama zile file zilikuwa na maandishi itakuwa ni mistari ya bongo fleva tu.. Kinje aliporwa na mzungu, mzungu akamla akaenda kumuacha south Africa , wakarudi na shoga ake WAPOLE..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…