Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Awamu ya kwanza sio.... Enzi hizo kila mtu alizima sigara au alitulizwa..Angalau kuanzia ya pili, hata ya pili ilikuwa bado..Sana sana ya tatu na nne.. Upepo wake ulisha alivyoporwa demu ...
Kinje ameanza fujo na kuwa talk of the town miaka ta 90s Rais akiwa Mwinyi na akina Ipy Malecela
 
Si akawaga na hyo mbulgaria wenyw tulikuwa tnamuita Mr John
Mbulgaria alikuwa bonge la mafia+mhuni kawatandika sana wadada mjini[emoji23] [emoji23]
Kumbka tu kuna kisa cha madem fulani kutoroshwa bongo wkt fulani
Ahh ngj niishie hpa watu Wako bdo msibani

Ova
Du nakumbuka kipindi hicho. Kuna dada mmoja naye alikuwa ameahidiwa kupelekwa kufanya matangazo ya biashara lakini hakwenda.
 
Si akawaga na hyo mbulgaria wenyw tulikuwa tnamuita Mr John
Mbulgaria alikuwa bonge la mafia+mhuni kawatandika sana wadada mjini[emoji23] [emoji23]
Kumbka tu kuna kisa cha madem fulani kutoroshwa bongo wkt fulani
Ahh ngj niishie hpa watu Wako bdo msibani

Ova
Mkuu ungefanya kufunguka tu.

Cc mwasu

Njoo utudondoshe chochote huku.
 
Mkuu ungefanya kufunguka tu.

Cc mwasu

Njoo utudondoshe chochote huku.
Mkuu Mengi hakumchukua Jacky kwa Kinje, Mengi amemchukua Jacky akiwa hana bwana wa maana, alikuwa anajizungusha pale Kilimanjaro hotel, bi dada kutwa na maifile anakaa anajifanya yuko busy kumbe alikuwa anadanga, kama zile file zilikuwa na maandishi itakuwa ni mistari ya bongo fleva tu.. Kinje aliporwa na mzungu, mzungu akamla akaenda kumuacha south Africa , wakarudi na shoga ake WAPOLE..
 
Back
Top Bottom