cadey
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 1,455
- 4,419
Mbona nilisikia eti wameachana wamebaki kulea watoto na bibie yupo na mzungu mara nikaja kushangaa anachamba michepuko snapchatNa ana moyo jamani.. Nilijuaga after video ya Kinje na Tunda na kule kumchamba Ade snapchat ingekua ndo bye bye juzi naona mtu kawapost Kinje na Anita nikasema eeeh baba ukinipa mume nipe moyo wa kujitambua na kujithamini mimi kwanza