Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Na ana moyo jamani.. Nilijuaga after video ya Kinje na Tunda na kule kumchamba Ade snapchat ingekua ndo bye bye juzi naona mtu kawapost Kinje na Anita nikasema eeeh baba ukinipa mume nipe moyo wa kujitambua na kujithamini mimi kwanza
Mbona nilisikia eti wameachana wamebaki kulea watoto na bibie yupo na mzungu mara nikaja kushangaa anachamba michepuko snapchat
 
F I ni fideline iranga.

acha wajisumbue kuandika kwa kwa code....mimi kazi yangu itakuwa ni ku-decode kila neno.
wasidhani ni wao tu ndio maboni town kitambo. sisi wengine ni maboni town hasa ila tumetulia tuli tunawachora.
[emoji106]
 
Mbona wa madongo kuinama nimeelewa !!!!... Tabu sio kufika mjini ila ni kuyafuatilia ya mjini. Fide alikuwa maarufu kwa sababu ya kuwa model kibonge plus alikuwa video vixen pia hivyo, kwa mtu aliyekuwa anafuatilia ya zamani bhasi alimjua mange, tausi likokola, shose, senche,sintah, magesse, miriam ikoa, odemba, mercy galabawa n.k ambao ndo walitikisa kitambo kabla ya kuanza new reign ya madam sepenga na watu wake km uwoya wolper na wengineo
 
Back
Top Bottom