Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Hoyce Temu dadake na Rachel Temu

Kuna mmoja jina limenitoka kabisa, alikuwa 2003 au 2004, alikuwa mweupe halafu mnene, sijawahi kumsikia baada ya hapo.

Nilikuwa namwona chuo miaka hiyo, ila baada ya kumaliza sikumsikia tena.

Ni either before au after Happiness Magesa.
 
Simkumbuki huyu
 
Kwa kweli, kuna kesi moja aligonga gari, alipokamatwa na traffic alipiga simu akaambiwa nipe huyo askari niongee nae.

Masikini yule Askari sijui aliambiwa nini, lakini alivyofika nyumbani alijiua.
Hili jamaa lilikuwa pasua kichwa sana.

Nakumbuka alikuwa anakuja Arusha na Totos double kwa mpigo, alafu zote kali.

Kuna siku akafika Hoteli moja usiku na misifa yake, Gari lipo 'full blast' Wahudumu wa mapokezi wakamuomba apunguze sauti, akapayuka "hamtaki kelele kwani huku wanaishi Twiga...Twiga ndio hawapendi kelele"
 
Back
Top Bottom