PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili jamaa lilikuwa pasua kichwa sana.
Nakumbuka alikuwa anakuja Arusha na Totos double kwa mpigo, alafu zote kali.
Kuna siku akafika Hoteli moja usiku na misifa yake, Gari lipo 'full blast' Wahudumu wa mapokezi wakamuomba apunguze sauti, akapayuka "hamtaki kelele kwani huku wanaishi Twiga...Twiga ndio hawapendi kelele"