Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Mange ni born town wa ushuani ambaye alikuwa sana kwenye showbiz ya bongo haswa kutengeneza shows. Kingine alikuwa ana influence kwenye miss Tanzania na ndio maana Nancy Sumari na Wema sepetu ni product zake.
Kuwa kwake kwenye showbiz kulimpelekea ku hangout na mastar wengi wa enzi hizo na ndio maana hata baba wa mwanae ni Frank Koga (muuza sura wa kideo cha machozi by jide). Usisahau alikuwa katika kampani ya wadada classic kama mwamvita na ile blog yake ya U-turn ambayo ilikuwa maarufu kipindi cha blogs kabla ya hizi social medias.

Duuhh na mimi leo nimekuwa mdaku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Udambwi ubambwi wa JF mtamu zaidi kule Instagram aisee, ngoja niendelee kusoma comments [emoji1787][emoji1787]
 
fullsizeoutput_3146.jpeg
 
Back
Top Bottom