Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Si poa !I did.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si poa !I did.
Daaah....kweli utawachosha watu humu !Nisikuchoshe mkuu japo sijamfaham bado
Kama binti ana almost 38. Mama mtu anaweza kuwa na miaka mingapi ?Madam ana watoto wawili kabla ya kua na mengi ni mabinti wakubwaa kwenye 38 hivi wa kwanza anafika
Wabongo bila pretence. Maisha yao hayaendiHayo ni maisha yetu ya kila siku,sema wao watu maarufu ndiyo maana watu wanapretend kuwaona wa ajabu.
Kama ana miaka 41 ina maana aliwazaa akiwa na miaka 3[emoji23][emoji23][emoji23]wabongo bwanaKama binti ana almost 38. Mama mtu anaweza kuwa na miaka mingapi ?
Dah!!!kwa list iliyo tajwa humu Mzee katelezesha sana nyoka pangoni isije tu kuwa aliwapaka vya kuwapaka kama mzee wa BoT.Ila huyu baba tuseme ukweli mchunguu alikua Malaya km wengine!!!!
Wazazi wengi 70% wa kitanzania wana mentality hiyo.We ndo wajua hvyo...wao ya kwao yanaendaaa!!!wazazi walikua upande wa Nancy kwa kua yeye ndo ana status mjini
Daaah....kweli utawachosha watu humu !
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora useme, maana mtu kakomaa mbulgaria na dizonga halafu hamalizii
Kwani tabia za watanzania za kusema sema watu kwa mabaya yao wakati huo sisi yetu tumeyapa kisogo imeanza leo au mwaka huu. Hii tabia mbovu ni moja ya mila na desturi za watanzania.Unahamaje nchi kwa Maneno ya Chuki toka kwa Loosers!? Jacky kashaula hata muandike humu hadi vidole vikauke ukweli ni kwamba kashawaacha mbali sana Kiuchumi na kwa vitu vingi tu. Acheni Roho mbaya na kupenda kusema watu as if nyie ni angels.
Salama ni lesbian ?Salama anamla mke wa Kinje Anita
Wivu haujawahi kumuacha mwenye nao salama. Lazima utamsambaratisha.kweli katuzidi sana tu, ila kweli tungekuwa ma super star kama yeye nasisi tungeonwa na vibabu na wangetuachia account zilizonona. hahaha
Daah! Mkuu...Mtutajie hayo majina...achana na vifupisho vifupisho.Huyo nlikuwa namuonaga sana na yule boss wa dtv mzung sjui katimuliwa nchini
Ila huyo f----I kuwadi
Mjini kuna kundi la madada fulani wao kazi yao kuwaset wadada wakali kwa watu wenye pesa ikiwezekana hadi ufunge ndoaa
Wamama na wadada mjini wanaishi kwa style nyingi
Ova
Hapo ndio tunachukua usemi wa kikwete.Kama ana miaka 41 ina maana aliwazaa akiwa na miaka 3[emoji23][emoji23][emoji23]wabongo bwana
Hii iliwahi kutoka kwenye kale kajarida pendwa ka SanifuAlivyokuwa na mahusiano na madam alifika kabisa, ikawa anaenda kwa madam kama kwake na wakati huo alikuwa hajatengana na mama Mercy (R.I.P) mama akawa anamlia timing baada ya kujua hyo siku mzee ameenda kwa madam mama nae akaingia mzee akatokea mlango wa nyuma akapanda ukuta akaruka huyooooo...kakimbia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaonekana Jocate anawapenda sana wakina John. Ndio maana imekuwa rahisi kubebwa na John mkubwa.
Dadeki...haina haja ya kuandika sasa...kama hamtaki tuelewe wengine...mkaongee PM tu mnaojuana sasa.Ila QR X, yule wa Bos W, alikuwa noma sana mjini, kuna kipindi alihamia SP, kipindi bado inajengwa, huko ndo akakutana na Msanii T... Y, waliyoyafanya ni kisanga. Hata huyo model F I alianzia SP.
Walimzika vijiji vya Morogoro sasa mahenge si iko njia hiyo huwenda ndio wa huko huko.Yule mzee wa Mahenge ?
Hatari tupu mkuu sisi wasomaji tu,hatujui kitu kuhusu watu wengine na kwa machache tunayoyajua hatuoni umhimu wa kuyazungumza kwa kuwa hayatusaidii kitu.Hapo ndio tunachukua usemi wa kikwete.
"za kuambiwa changanya na zako"
Humu kuna story nyingi za nasikia hiki...., nasikia yule......, nasikia nanii........ Wachache sana wenye first hand information. Wengi wana baseless allegations.