Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Unahamaje nchi kwa Maneno ya Chuki toka kwa Loosers!? Jacky kashaula hata muandike humu hadi vidole vikauke ukweli ni kwamba kashawaacha mbali sana Kiuchumi na kwa vitu vingi tu. Acheni Roho mbaya na kupenda kusema watu as if nyie ni angels.
Kwani tabia za watanzania za kusema sema watu kwa mabaya yao wakati huo sisi yetu tumeyapa kisogo imeanza leo au mwaka huu. Hii tabia mbovu ni moja ya mila na desturi za watanzania.
 
kweli katuzidi sana tu, ila kweli tungekuwa ma super star kama yeye nasisi tungeonwa na vibabu na wangetuachia account zilizonona. hahaha
Wivu haujawahi kumuacha mwenye nao salama. Lazima utamsambaratisha.
 
Mjini kuna mambo Mh. Dc basi atakua na list ndefu sana wanaojulikana na wasiojulikana
 
Huyo nlikuwa namuonaga sana na yule boss wa dtv mzung sjui katimuliwa nchini
Ila huyo f----I kuwadi
Mjini kuna kundi la madada fulani wao kazi yao kuwaset wadada wakali kwa watu wenye pesa ikiwezekana hadi ufunge ndoaa
Wamama na wadada mjini wanaishi kwa style nyingi

Ova
Daah! Mkuu...Mtutajie hayo majina...achana na vifupisho vifupisho.
 
Kama ana miaka 41 ina maana aliwazaa akiwa na miaka 3[emoji23][emoji23][emoji23]wabongo bwana
Hapo ndio tunachukua usemi wa kikwete.
"za kuambiwa changanya na zako"

Humu kuna story nyingi za nasikia hiki...., nasikia yule......, nasikia nanii........ Wachache sana wenye first hand information. Wengi wana baseless allegations.
 
Alivyokuwa na mahusiano na madam alifika kabisa, ikawa anaenda kwa madam kama kwake na wakati huo alikuwa hajatengana na mama Mercy (R.I.P) mama akawa anamlia timing baada ya kujua hyo siku mzee ameenda kwa madam mama nae akaingia mzee akatokea mlango wa nyuma akapanda ukuta akaruka huyooooo...kakimbia.
Hii iliwahi kutoka kwenye kale kajarida pendwa ka Sanifu
 
Hapo ndio tunachukua usemi wa kikwete.
"za kuambiwa changanya na zako"

Humu kuna story nyingi za nasikia hiki...., nasikia yule......, nasikia nanii........ Wachache sana wenye first hand information. Wengi wana baseless allegations.
Hatari tupu mkuu sisi wasomaji tu,hatujui kitu kuhusu watu wengine na kwa machache tunayoyajua hatuoni umhimu wa kuyazungumza kwa kuwa hayatusaidii kitu.
 
Back
Top Bottom