Na yeye anatongaza kama wanaume?inamaana kuna sampuli flani ya wanawake wenzie ndio anakuwa na matamanio nao?
Lakin alikuwa mtamu!Alikua anakula fegi huyo Miss na wajuvi wa mambo walikua wanasema hata msuba alikua anamoka
Kwa mahesabu ya haraka anacheza 51Alizaa na miaka 13
Waja mna mambo na maneno haswa,,πππSasa hivi hata mke anamshare na Salama Jabir na ubavu wa kumkomesha hana.
Rita hana 41Kama ana miaka 41 ina maana aliwazaa akiwa na miaka 3[emoji23][emoji23][emoji23]wabongo bwana
Nikipata nauli nahamia Dar maana inaonekana kuna mambo mengi,wa mikoani tunacomment wapi?
Khaaaah.. mbona iko wazi tuSalama ni lesbian ?
Kama binti ana almost 38. Mama mtu anaweza kuwa na miaka mingapi ?
Kwahiyo bado wanakulana? DaaahLakini Kinje hawezi kumzuia Salama asikanyage South Africa
I didnβt say that mkuuKwahiyo bado wanakulana? Daaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sawa bibiI didnβt say that mkuu
Ni Femina ile story ya maisha yakeMwaka 2004 nilisoma jarida km sio bang basi Femina sasa laitwa FEMA alikua ana 44 nakumbuka vzr tuu!!!
Hahaaa[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23]Mwenyewe namsaka sijamfikia bado.. ngoja nikimalizana nae nitakuweka dear
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji39][emoji16]hii ndo nainyaka hii!duuhh!!!najua ya Salama na ReginaSema mjini mambo ni mengi mnoo. Eti wanasema Jack pia alishawahi kulana na Regina tena wakawa wanaishi nyumba moja mke na mume. Na ndio maana Regina anamchukia Jack kwa kuwa kala kuku na mayai
Madam anadanganya umri yuleAlizaa na miaka 13
Hataki uzee kabisa.. ukimkuta club utasema kabinti kuanzia kalivyo vaa mpaka mikogoMadam anadanganya umri yule
Ya Salama na Regina mwenyewe ndo nimeinyaka leo[emoji3][emoji16][emoji16][emoji39][emoji16]hii ndo nainyaka hii!duuhh!!!najua ya Salama na Regina
Yule mzee alikua msure sanaJack alikuwa rafiki Wa madam Rita, baada ya madamu kutofautiana na mengi basi jack nae kapenya.
N.b kitu ambacho sitosahau mengi alikuwa mwanaume wa kwanza kwenda karagwe mulongo na helicopter kwa ajili ya madam.
Faraja vipi jaman?Hoyce Temu na Nancy Sumari tu, wengine wote ni majanga ya Lundenga....yaani wamekuwa kama misukule ya Gwajima.
Ila ya mke wa kinje na salama unayo miaka mingiπππππYa Salama na Regina mwenyewe ndo nimeinyaka leo