Kuna wakati nlikuwa nai run .....nai control
Yote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kino....ilala
Ova
Si unajua mishe mzee unakutana na mengiMzee mji unaujua aisee
Mzee uko nondo..Nrgs yupo
Alishatokaga Masoud kimice wkt fulani
Sema mm namuonaga kama ana mguu mmja mrefu mwngne mfpi
Nakajuaga tangia knakaa blck 41 enzi hzo knasoma esacs
Ova
Huwa unafuatilia sana likes za mitandaoni ?Waliolike wote hao ni kijani...ogopa hiyo kitu.
LilianHii picha nimeona kwenye page moja huko IG,unamtambua huyu binti anaitwa nani?kwa mwonekano wa picha inaonyesha walikuwa kwenye mahaba na mzee
View attachment 1095217
Wewe unapenda?Marehemu alikuwa hapendi ku share ?
Nargis kuna wakati alikuwa anaigiza, ndio yule?Nrgs yupo
Alishatokaga Masoud kimice wkt fulani
Sema mm namuonaga kama ana mguu mmja mrefu mwngne mfpi
Nakajuaga tangia knakaa blck 41 enzi hzo knasoma esacs
Ova
Uzi mzuri but still iko kwenye level ya watu wadogo! Tunajadili watu badala ya vitu na mawazo mapya. Nilijua inahusu namna ya kuwa km Mengi. Mengi kaacha legacy, how about us? GUYS THINK BIG! Mashoga wengi mjini mpk kero.Haikuwa rahisi.. Ulikuwa ni ugomvi mzito.. Pesa ikashinda..
Kinje alimsaidia Jacky ku-maintain maisha classic ya mjini, career yake ya mitindo/music na kumpatia exposure..
Mengi alikuwa ana ofisi yake maalum ya kufanya mikutano na vijana waliokuwa wakihitaji 'kusapotiwa'. Wengi walipata msaada wake. Nilicheka nilivyosikia Jacky anasema walikutana kwenye ndege! Hassanali anajua zaidi..
Msimu huo ulikuwa ni vita pia kwa wadada wa mjini.. Wenyewe waliita mawindo.. Kila mmoja alitaka kupata a finer catch..
Zile nyimbo za K-Lyinn mostly zilimhusu Kinje na madongo kwa mashosti zake... Mambo ya kuporana wanaume..
Pale Makumbusho jirani na eagle wing kuna members only club.. MPs, Ministers, CEOs, Moguls, Dons na Diplomats wanaenda kurefresh.. VIPs only.. PIMPs wa enzi hizo wanajua zaidi... Da' Mange naye kachezea sana mikasi pale.. Niishie hapo. Sitaki kuharibu swaum za watu!
Bifu la Kinje na Mengi halikuwa la kibiashara!
Ndio. Nadhan alijinyofoa mapema kwenye scadalous life mana alikuwa na GPA nzuri ya mvuto. Alipoukosa u miss Tz nilishika kichwa. Dada wa enzi hzo bana walimfanya Juma Nature atunge wimbo wa maombolezo( inaniuma sana). Sidhan kuna atakayekuja andikwa udaku kama sintah mana sass tuko enzi za udaku siasa kama wakenya.Nargis kuna wakati alikuwa anaigiza, ndio yule?
😁😁😁😁umbea afya banaNa mama mkwe alimpatia pickup kama ya Coca-Cola mpya! Sorry nami nakuwa mbea na ushamba wangu
Eeeeh. Last time kama mwezi hivi nilikutana nae Bucket kapiga gauni yake fupi kapendeza na kichwa iko vizuri tayariYa Salama na Regina naijua toka Niko shule enzi hizo Advance,na kuna mdada wa Rozela Saloon (saloon za kishua za enzi hizo)salama alikua anamsumbua balaa!!!mdada ana mchumba wake Salama anakomaa Ile ileHahaaa forever young duuhhh!!![emoji56][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]anaenda club jamani chaaa
Ndo hivyo mwayaHeee hii Kali,never knew ,JoJo ...makubwa haya
Lydia nishampata. Huyu Mariam simjui ila hao bongo movie umewataja ndo mambo yao hayoHuyu lydia alikuwa anafanya kazi EATV, kuna kipind alikuwa na fema/femina programme yupo vizuri kimtindo in terms of akili mingi(intelligent haswaa), so unaweza ku connect dot hapo na regina, salama na vee
Huyu mariam nilifahamiana nae kipind cha nyuma kama 2009, kawakoboa sana akina sepenga, wolpa,...huyu ashaish kinyumba kabisa waulpa
ElementsViwanja vyake wapi na mm nimkamatie?
LilianHii picha nimeona kwenye page moja huko IG,unamtambua huyu binti anaitwa nani?kwa mwonekano wa picha inaonyesha walikuwa kwenye mahaba na mzee
View attachment 1095217
Kwa nyie watoto wa mjini😁😁😁😁umbea afya bana
Huyu Lydia akishawah kuhojiwa na SJ mpaka akaulizwa umeanza kula dudu lini kwa mara ya kwanza akasema chuo kikuu....kumbe wanajuana shughul zao walikuwa wanataka kukamatana ugoni...[emoji16]Lydia nishampata. Huyu Mariam simjui ila hao bongo movie umewataja ndo mambo yao hayo
Ohooooo!!!Yule anaingilika ila jongoo hapandi mtungi fresh si nayeye kabla hajaukwaa ukuu alikuwa anachumishwa kiboga.