Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Nrgs yupo
Alishatokaga Masoud kimice wkt fulani
Sema mm namuonaga kama ana mguu mmja mrefu mwngne mfpi
Nakajuaga tangia knakaa blck 41 enzi hzo knasoma esacs

Ova
Mzee uko nondo..

Kipindi Mawingu ipo NIC pale nilishaendaga studio nikawakuta kwenye korido wamepozi zero distance.. Bila hata kuuliza unajua tu hawa wanatoka maana walikuwa open sana.. Enzi za akina Kaka Bonda na mdada AC (RIP)..

Yes, NM anachapia kidogo mguu mmoja halafu siku hizi sijui ni chemicals au make up zimemharibu.. Ametoka vijindevu kiasi (sorry).
 
Nrgs yupo
Alishatokaga Masoud kimice wkt fulani
Sema mm namuonaga kama ana mguu mmja mrefu mwngne mfpi
Nakajuaga tangia knakaa blck 41 enzi hzo knasoma esacs

Ova
Nargis kuna wakati alikuwa anaigiza, ndio yule?
 
Haikuwa rahisi.. Ulikuwa ni ugomvi mzito.. Pesa ikashinda..

Kinje alimsaidia Jacky ku-maintain maisha classic ya mjini, career yake ya mitindo/music na kumpatia exposure..

Mengi alikuwa ana ofisi yake maalum ya kufanya mikutano na vijana waliokuwa wakihitaji 'kusapotiwa'. Wengi walipata msaada wake. Nilicheka nilivyosikia Jacky anasema walikutana kwenye ndege! Hassanali anajua zaidi..

Msimu huo ulikuwa ni vita pia kwa wadada wa mjini.. Wenyewe waliita mawindo.. Kila mmoja alitaka kupata a finer catch..

Zile nyimbo za K-Lyinn mostly zilimhusu Kinje na madongo kwa mashosti zake... Mambo ya kuporana wanaume..

Pale Makumbusho jirani na eagle wing kuna members only club.. MPs, Ministers, CEOs, Moguls, Dons na Diplomats wanaenda kurefresh.. VIPs only.. PIMPs wa enzi hizo wanajua zaidi... Da' Mange naye kachezea sana mikasi pale.. Niishie hapo. Sitaki kuharibu swaum za watu!


Bifu la Kinje na Mengi halikuwa la kibiashara!
Uzi mzuri but still iko kwenye level ya watu wadogo! Tunajadili watu badala ya vitu na mawazo mapya. Nilijua inahusu namna ya kuwa km Mengi. Mengi kaacha legacy, how about us? GUYS THINK BIG! Mashoga wengi mjini mpk kero.
 
Nargis kuna wakati alikuwa anaigiza, ndio yule?
Ndio. Nadhan alijinyofoa mapema kwenye scadalous life mana alikuwa na GPA nzuri ya mvuto. Alipoukosa u miss Tz nilishika kichwa. Dada wa enzi hzo bana walimfanya Juma Nature atunge wimbo wa maombolezo( inaniuma sana). Sidhan kuna atakayekuja andikwa udaku kama sintah mana sass tuko enzi za udaku siasa kama wakenya.
 
Ya Salama na Regina naijua toka Niko shule enzi hizo Advance,na kuna mdada wa Rozela Saloon (saloon za kishua za enzi hizo)salama alikua anamsumbua balaa!!!mdada ana mchumba wake Salama anakomaa Ile ileHahaaa forever young duuhhh!!![emoji56][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]anaenda club jamani chaaa
Eeeeh. Last time kama mwezi hivi nilikutana nae Bucket kapiga gauni yake fupi kapendeza na kichwa iko vizuri tayari
 
Huyu lydia alikuwa anafanya kazi EATV, kuna kipind alikuwa na fema/femina programme yupo vizuri kimtindo in terms of akili mingi(intelligent haswaa), so unaweza ku connect dot hapo na regina, salama na vee

Huyu mariam nilifahamiana nae kipind cha nyuma kama 2009, kawakoboa sana akina sepenga, wolpa,...huyu ashaish kinyumba kabisa waulpa
Lydia nishampata. Huyu Mariam simjui ila hao bongo movie umewataja ndo mambo yao hayo
 
Lydia nishampata. Huyu Mariam simjui ila hao bongo movie umewataja ndo mambo yao hayo
Huyu Lydia akishawah kuhojiwa na SJ mpaka akaulizwa umeanza kula dudu lini kwa mara ya kwanza akasema chuo kikuu....kumbe wanajuana shughul zao walikuwa wanataka kukamatana ugoni...[emoji16]
 
Back
Top Bottom