Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Watu humu hawajui ku cmnt kwa kutumia code dahhhhhh

Ova
Najua sana. Na huwa natumia code mara nyingi zaidi humu. But nafanya hivyo kulingana na ishu mkuu.

Hizi za hawa wahuni acha tuzitaje tu kama zilivyo maana wanadanganya sana mabinti wanaowatazama kama role models.

Mfano mtu kama Shamim unaweka code ya nini?

Najua ninachokifanya!
 
Endelea wewe
 
Wazee wa motivation speaker hao[emoji23]

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…