Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Kwa kweli, kuna kesi moja aligonga gari, alipokamatwa na traffic alipiga simu akaambiwa nope huyo askari noon gwe nae.

Masikini yule Askari sijui aliambiwa nini, lakini alivyofika nyumbani alijiua.
kumbe hii ilikuwa kweli??
nilijua ni stori za town tu
 
Hahaa nilikuwa mdogo wakati huo --- mimi nayajulia wapi hayo binafsi nilianza kumjua miaka ya 2005 kwa sababu nilikuwa namuona akija kula bata mikocheni and co .
Huyu usela alianza tangu shule, unakumbumbuka miguu fito ya Kinje ilikuwa talk of dadas
 

Nyalandu na wewe alikudanganya atakuoa sio?
 
Kwa kweli, kuna kesi moja aligonga gari, alipokamatwa na traffic alipiga simu akaambiwa nipe huyo askari niongee nae.

Masikini yule Askari sijui aliambiwa nini, lakini alivyofika nyumbani alijiua.
Noma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…