Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Ishu ya Regina naijua na inasemekana ndo demu wa kudumu wa Salama,vee huyu mdee?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lydia kuna mtu namfananisha nae

Ha ha huyu ni konki sura ya kazi, ya chini ya kapeti ni mengi mnooo ila unakuta wote circle ni moja...ukipandikiza ugonjwa utaona ma star wa bongo wanavyo vuta
 
Jack alikuwa rafiki Wa madam Rita, baada ya madamu kutofautiana na mengi basi jack nae kapenya.

N.b kitu ambacho sitosahau mengi alikuwa mwanaume wa kwanza kwenda karagwe mulongo na helicopter kwa ajili ya madam.
Aiseeeeh
 
Unahamaje nchi kwa Maneno ya Chuki toka kwa Loosers!? Jacky kashaula hata muandike humu hadi vidole vikauke ukweli ni kwamba kashawaacha mbali sana Kiuchumi na kwa vitu vingi tu. Acheni Roho mbaya na kupenda kusema watu as if nyie ni angels.
kweli katuzidi sana tu, ila kweli tungekuwa ma super star kama yeye nasisi tungeonwa na vibabu na wangetuachia account zilizonona. hahaha
 
Alinyang'anywa na mzungu sio DR.. kwa hiyo alikuwa na hasira nae labda akawa anamtishia, bibi akaomba msaada hunda, ila machache agombee demu never, angeanza kwa madam basi maana pale alifika mpaka kuruka ukuta si mchezo.
Kwamba kuruka kuta kumeanza tangu wengine hatujafika kwa Bashite.
 
Hawa Manhattan ladies wa Dar Mbulgaria alivuruga sana. Sasa ni classic wake wa waheshimiwa.
Marehemu alikuwa sana na Madame Bongo Star Search, sijui ujio wa mama wawili ndo ulimvurugia !?
 
Alivyokuwa na mahusiano na madam alifika kabisa, ikawa anaenda kwa madam kama kwake na wakati huo alikuwa hajatengana na mama Mercy (R.I.P) mama akawa anamlia timing baada ya kujua hyo siku mzee ameenda kwa madam mama nae akaingia mzee akatokea mlango wa nyuma akapanda ukuta akaruka huyooooo...kakimbia.
Nini kilisababisha hasidumu na madam ?
 
Back
Top Bottom