Pre GE2025 Dkt. Mhagama: Sheria za Uchaguzi zinazotungwa hazitazingatia maandamano yanayoendelea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Subilini wawapinge mahakamani ndiyo hakili ya kufahamu kuwa Sheria ikipingana na katiba huwa haifai inatakiwa ifutwe ndiyo itawaingia.
 
Hii ni habari njema sana, kuwa sheria zitazingatia maoni ya wadau, hoja zinazoandamaniwa ni maoni ya wengi waliofika mbele ya kamati.

Kwavile kamati ya Bunge inajadili kile tuu kilicholetwa mbele yake na serikali, na hakuna hoja yoyote ya minimum reform ya katiba imeletwa Bungeni, hoja za maandamano ni kuhusu katiba, hivyo mjibu maadamano ni Rais Samia na sio yeye, sio Bunge, sio sheria, ni serikali kuhusu katiba.

Kamati yake iendelee na mchakato, na maadamano yaendelee na hoja zake.
P
Cc Lucas Mwashambwa & Chiembe
 
Kama hakukuelewa basi. Utafanyaje kama unayemwambia kichwani amebadilisha akili kaweka Itikadi?
 
Back
Top Bottom