Dkt. Modestus Francis Kipilimba: Wasifu wake

Hizi so called nyumba za ibada, ibada za kumwomba mwenyezi Mungu atupe upendo wa haki zimegeuka vichaka vya mashetani, mimi nimerudi kuabudu mizimu yangu iliyokuwepo kabla hizi dini hazijaletwa na merikebu, na mbaya zaidi siku watakaposinzia jumla tutaambiwa walikua good people's who never even hurt a fly 🪰!,hii ni bushit
 
una uhakika ?
Tuambie ni lini alikuwa Tume ya uchaguzi kabla ya TISS. Maana wakati JPM anateua kuwa Kaimu Mkurugenzi NIDA tuliambiwa ametoa BoT. Sasa huko Tume ya Mahela hatua kumbukumbu yeyote yeye kufanya kazi huko. Kama ipo tuwekee badala ya kunihoji.
 
Badala Wakujibu wamekushambulia sana ha ha haaa ha labda ni Vijana wake wanakupiga
 
Tuambie ni lini alikuwa Tume ya uchaguzi kabla ya TISS. Maana wakati JPM anateua kuwa Kaimu Mkurugenzi NIDA tuliambiwa ametoa BoT. Sasa huko Tume ya Mahela hatua kumbukumbu yeyote yeye kufanya kazi huko. Kama ipo tuwekee badala ya kunihoji.
Kipilimba aliteuliwa na Jakaya Kikwete kuwa Mjumbe wa Tume ya uchaguzi wiki 1 kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2015 , siku chache baada ya uchaguzi akateuliwa kuwa DG wa Tiss ( Kuna taarifa kwamba aliletwa NEC ili kuwezesha kudivert kura za lowassa na kumpa jiwe )
 
Kwa sababu unamtumikia Lissu.
Kabla hujataka wasifu wa Kapilimba ebu na wewe jitambulishe ili tukutambuwe ulitokea wapi na unafanya nini mpaka sasa?

Hizi team roho mbaya bila kupewa za uso mnatupeleka pabaya sasa.

Huku mnaomba maridhiano kumbe mmeficha visu mifukoni?

Tumewachoka bhana!
 
Correct me if I'm wrong. Mtu aliyetoka TISS na kuja Tume ya Taifa ya Uchaguzi siyo Ramadhani Kahilima? Nakumbuka ndo alikuja kuwa mkurugenzi wa uchaguzi.
Ramadhani Kailima na Kipilimba wote jiwe aliwaleta NEC
 
Kama aliteuliwa kuwa mjumbe, sawa wengi hatukumjua that time. Sikujuwa kuwa kuna wajumbe kwenye NEC .....!! Kama ndyo hivyo, then kuna kila sababu ya katiba mpya.
 
Kamuulize mgombea Uraia kupitia chama Cha ngogwe 2020 atakwambia
 
Usichoke mkuu , ndio kwanza tunaanza
 
Huyu ndiyo kamuharibia Magufuli historia yake. Kiongozi wa utekaji






Dar es Salaam. Several months after he was removed from the position of Director General of Tanzania Intelligence and Security Services (TISS), Modestus Kipilimba was finally sworn in as Tanzania’s ambassador to Namibia at State House, Dar es Salaam today.

He was sworn in by President Magufuli to represent Tanzania at the new embassy in Windhoek, Namibia alongside other ambassadors who were appointed around the same time.

Those who took oaths today include Dr Benson Bana who becomes Tanzania’s ambassador to Nigeria, Rtd Major General Gaudence Milanzi who becomes Tanzania’s ambassador to South Africa.

Prof. Emmanuel David Mwaluko Mbena on the other hand has been appointed as the new ambassador to Zimbabwe.

Present at the swearing in was the minister of foreign Affairs and East African cooperation Prof Palamagamba Kabudi who reminded the new envoys the tasks at hand in representing Tanzania.

He reiterated to the new ambassador to South Africa Rtd Major General Gaudence Milanzi that he should immediately embark on making sure Tanzania is in the fore front championing the teaching Kiswahili in South Africa.

Tanzanian envoy denies President Magufuli in bad health​

By Reuters Staff
3 MIN READ

  • Magufuli out of public view since end of February
  • Opposition leader says he is in a coma with COVID-19
  • Tanzania’s envoy to Namibia says Magufuli working normally
NAIROBI/WINDHOEK, March 12 (Reuters) - Tanzania’s President John Magufuli is in good health and working normally, one of his diplomats has told a broadcaster in Namibia, countering reports he had been flown to hospital in Kenya and then India in a critical condition with COVID-19.
Magufuli, 61, who is Africa’s most prominent coronavirus sceptic, has not been seen in public since Feb. 27.

Tanzanian opposition leader Tundu Lissu has cited medical and security sources for information that the president was flown to the private Nairobi Hospital in neighbouring Kenya and then on to India in a coma.
But the Namibian Broadcasting Corporation quoted Tanzania’s ambassador in Windhoek, Modestus Kipilimba, as saying Magufuli was in good health and remained in Tanzania.
“High Commissioner Kipilimba dismissed the reports, saying Magufuli is in Tanzania going about his normal duties,” NBC said, in what would be the first public comments from a Tanzanian official about Magufuli’s situation since questions were raised.
Kenya’s Nation newspaper cited unidentified political and diplomatic sources earlier this week saying that an African leader, which it did not name, was being treated for COVID-19 on a ventilator at the private Nairobi Hospital.
The hospital has said nothing.

In power since 2015 and nicknamed “The Bulldozer”, Magufuli has played down the threat from COVID-19, saying God and remedies such as steam inhalation would protect Tanzanians.
He has mocked coronavirus tests, denounced vaccines as part of a Western conspiracy to take Africa’s wealth, and opposed mask-wearing and social distancing.
Tanzania stopped reporting coronavirus data in May last year when it said it had 509 cases and 21 deaths, according to the World Health Organization (WHO), which has urged Magufuli’s government to be more transparent and to implement COVID-19 curbs.
Magufuli, a former chemistry professor from the village of Chato in northwest Tanzania, was first elected president in 2015. He has faced accusations from Western countries and opposition parties of eroding democracy, which he denies. (Reporting by Duncan Miriri in Nairobi, Nyasha Nyaungwa in Windhoek; Writing by Andrew Cawthorne; Editing by Alex Richardson)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…