#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

Serikali ina hoja za kimwili zenye uthibitisho wa kisayansi, Mch. Gwajima ana hoja za kiroho tena mbele ya waumini wake. Sasa hapo hapo mambo ya kidunia na ya kiroho yanapatana vipi!?
Hapa ndipo lilipo tatizo. Hili sasa ndiyo tatizo la kuchanganya dini na siasa kwa maana yake haswa, siyo kama serikali ilivyokuwa inasingizia wakati viongozi wa dini walipokuwa wanaikosoa. Dawa ya hili ni ndogo sana. Viongozi wa dini walio-active kwenye dini zao i..e ambao ni viongozi kwenye madhehebu yao wasiruhusiwe kugombea nyadhifa za kisiasa au kama watagombea basi wajiuzulu uongozi wa dini. Hili kama lingekuwa sheria Gwajima alitakiwa ajiuzu ''uchungaji'' wake na awe muumini wa kawaida.
 
Anatupeleka chaka huyu tumhoji je lazima mbunge kabla kuingia bungeni achanje? Katumwa na Ndugai kukimbia hoja.Ajibu Spika anasemaje mbunge lazima kuchanjwa ili aingie Bungeni? Naibu Waziri jibu
 
Huyu jamaa anatuaibisha Wasukuma.
Huyu Gwajima anapiginia tumbo lake. Mwenye makosa ni Magufuli. Hawa wote ni yeye aliwaingiza kwenye ubunge kwa kutumia njia za nguvu. Kimsingi suala la Gwajima ni dogo sana ila linahitaji viongozi wenye busara vision. Mama Samia kama mtangulizi wake hana. Ni kumwambia tu achia ngazi ya ubunge au jiuzulu ''uongozi wa kiroho'' unaokuweka mjini uwe muumini wa kawaida. Akijiuzulu hatapata tena platform ya kuposha. La sivyo kama anataka kuendelea kupotosha basi aachie ngazi kwenye ubunge.
 
Niliwahi weka uzi hapa nikionya kuwa Gwajiboy anaweza kushughulikiwa na watu wa system akiendelea na misimamo wake ila mods walifuta ule uzi.

Hata hivyo, kavunja sheria gani?

Mbona Magu hawakuwahi hata kumpinga alipokuwa akipinga chanjo?
 
Huyo Mollel ni bwana mdogo sana kwa Gwajima na hawezi kumfanya kitu

Mollel katupiga sound
Naibu waziri wa Afya anaefanya Kazi nchi nzima anakuwaje mdogo Kwa mbunge tena wa kijisehemu!!...tuwe tunafikiri wakati mwengine!!...Gwajima ambae amebebwa tu tena na mtu hata chama hakikumpitisha tuwetunafikiria hata kidogo
 
Ukifikiria wewe inatosha
 
Anatupeleka chaka huyu tumhoji je lazima mbunge kabla kuingia bungeni achanje? Katumwa na Ndugai kukimbia hoja.Ajibu Spika anasemaje mbunge lazima kuchanjwa ili aingie Bungeni? Naibu Waziri jibu
Ccm haijawahi kutenda jema kwa watanzania
 
Back
Top Bottom