Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili na nguvu ya cheoUnatazama umri wa mtu au cheo chake?
Nchi haiongozwi kama unavyoongoza NGO.Mama miezi michache tuu nchi imemshinda.
Vp za shh Zina makali?Nilimaanisha hawezi mfanya chochote, itaishia kuwa kama amri za majaliwa ambazo hazina makali
Gwajima mzito kweliSio size ya Gwajima huyu lakini huenda ni chambo ili wasiojulikana wakamilishe kazi
Unapoona mtu anatembea kifua mbele ujue nyuma yake ana nguvu kubwa
Nguvu kubwa kuliko Rais? Gwajima anajeuri sana kama anaipata wapiUnapoona mtu anatembea kifua mbele ujue nyuma yake ana nguvu kubwa
Naamini sukuma gang wana nguvu sana kwa sasaNguvu kubwa kuliko Rais? Gwajima anajeuri sana kama anaipata wapi
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Hawa Sukuma Gang ni akina nani mkuu?Naamini sukuma gang wana nguvu sana kwa sasa
Rais ana nguvu;Nguvu kubwa kuliko Rais? Gwajima anajeuri sana kama anaipata wapi
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Hawakupinga Mkuu...... Walivuta subiraAngalia hiki kisura, utafikiri sio chenyewe kilichokuwa kinapinga chanjo miezi 4 iliyopita shenzi taipu View attachment 1894704
Ikulu imegawanyika?Rais ana nguvu;
1. Kisheria
2. Wanaomzunguka.
Hatari huja kwa wale wanaokuzunguka ambao ni nguvu yako wakigawanyika.
Gwajiboy sio taahira kama unavyofikiri, anajua nguvu ya rais, lakini anapata ujasiri huu kwasababu anauona mnyukano na mgawanyiko wa watu waliopaswa kuwa upande wa rais...hivi bado hamuoni kuwa SHH anaelea?
Rashid Gwajima ni mkubwa hapa nchini kumzidi hata Samia Suluhu Hassan ndio maana hata akiropoka hakuna anayemsumbua.Unatazama umri wa mtu au cheo chake?
Sio wote wanaishi ikulu
We Mcdm tokea lini una imani na Dk Mollel?Naibu waziri wa afya mr Molleli amesema kuwa mchungaji Gwajima sasa kapitiliza kwa kuwapotosha watanzania.
Kwa ufupi pitia kwenye bandiko lake hapa chini ili kujionea alicho ongea.View attachment 1894702