#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

Hapa ndipo lilipo tatizo. Hili sasa ndiyo tatizo la kuchanganya dini na siasa kwa maana yake haswa, siyo kama serikali ilivyokuwa inasingizia wakati viongozi wa dini walipokuwa wanaikosoa. Dawa ya hili ni ndogo sana. Viongozi wa dini walio-active kwenye dini zao i..e ambao ni viongozi kwenye madhehebu yao wasiruhusiwe kugombea nyadhifa za kisiasa au kama watagombea basi wajiuzulu uongozi wa dini. Hili kama lingekuwa sheria Gwajima alitakiwa ajiuzu ''uchungaji'' wake na awe muumini wa kawaida.
Jumapili ijayo In shaa Allaah.

Ibada ya Ufufuo na uzima itatikisika.
 
Naibu waziri wa afya mr Molleli amesema kuwa mchungaji Gwajima sasa kapitiliza kwa kuwapotosha watanzania.

Kwa ufupi pitia kwenye bandiko lake hapa chini ili kujionea alicho ongea.View attachment 1894702
Mambo ya kiroho hayathibitishwi kisayansi. Mollel unapoteza muda Gwaji Rashidi atakupiga chenga na tobo hutaamini yaani

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Naibu waziri wa afya mr Molleli amesema kuwa mchungaji Gwajima sasa kapitiliza kwa kuwapotosha watanzania.

Kwa ufupi pitia kwenye bandiko lake hapa chini ili kujionea alicho ongea.View attachment 1894702
atawashinda asubuhi saa moja kasoro.
GWAJIMA anaongea mafunuo ya ROHO MTAKATIFU kupitia YESU KRISTO na nyie mnayumie akili za kipagani za kusingiziana ma-kesi, NURU NA GIZA havikai pamoja.
 
atawashinda asubuhi saa moja kasoro.
GWAJIMA anaongea mafunuo ya ROHO MTAKATIFU kupitia YESU KRISTO na nyie mnayumie akili za kipagani za kusingiziana ma-kesi, NURU NA GIZA havikai pamoja.
Sukuma gang woote mshindwe na mlegee
 
Serikali ina hoja za kimwili zenye uthibitisho wa kisayansi, Mch. Gwajima ana hoja za kiroho tena mbele ya waumini wake. Sasa hapo hapo mambo ya kidunia na ya kiroho yanapatana vipi!?
Kwamba chanjo Ina vitu vinawekwa Ni jambo la Kiroho?
 
Sayansi ya kuchanjana uchafu? Thubutu!
Chanjo imefanikiwa kupambana kwa kiwango kikubwa sana na magonjwa hatari ambayo yalitishia kumfuta binadamu katika uso wa dunia kama vile ndui,surua,ebora na kadhalika.Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuziita chanjo kuwa ni uchafu.
 
atawashinda asubuhi saa moja kasoro.
GWAJIMA anaongea mafunuo ya ROHO MTAKATIFU kupitia YESU KRISTO na nyie mnayumie akili za kipagani za kusingiziana ma-kesi, NURU NA GIZA havikai pamoja.
Alipokuwa anamla yule demu ROHO MTAKATIFU alimuweka wapi?
 
Back
Top Bottom