Hao kazi yao ni kucheza ngoma ya anayewapa chakula ili kuyajaza matumbo yaoAngalia hiki kisura, utafikiri sio chenyewe kilichokuwa kinapinga chanjo miezi 4 iliyopita shenzi taipu View attachment 1894704
Naibu waziri wa afya mr Molleli amesema kuwa mchungaji Gwajima sasa kapitiliza kwa kuwapotosha watanzania.
Kwa ufupi pitia kwenye bandiko lake hapa chini ili kujionea alicho ongea.View attachment 1894702
Huo ndo mwisho wa mashitaka.Hahaha!!!
Nao serikali wataulizwa swali dogo tu, wathibitishe kama katika huo muda tajwa na Gwajiboy, hizo chanjo hazina madhara...
Huyu jamaa anatuaibisha Wasukuma.Muasisi wa sukuma gang
Hapa ndipo lilipo tatizo. Hili sasa ndiyo tatizo la kuchanganya dini na siasa kwa maana yake haswa, siyo kama serikali ilivyokuwa inasingizia wakati viongozi wa dini walipokuwa wanaikosoa. Dawa ya hili ni ndogo sana. Viongozi wa dini walio-active kwenye dini zao i..e ambao ni viongozi kwenye madhehebu yao wasiruhusiwe kugombea nyadhifa za kisiasa au kama watagombea basi wajiuzulu uongozi wa dini. Hili kama lingekuwa sheria Gwajima alitakiwa ajiuzu ''uchungaji'' wake na awe muumini wa kawaida.Serikali ina hoja za kimwili zenye uthibitisho wa kisayansi, Mch. Gwajima ana hoja za kiroho tena mbele ya waumini wake. Sasa hapo hapo mambo ya kidunia na ya kiroho yanapatana vipi!?
Na alipinga Sana kutangaza wagonjwa, wanasiasa wa Aina hi hatari,hata hajui anasimamia kipi.Kwanza Molleli ilibidi atwambie inakuwaje leo hii anaipigania chanjo wakati muda wa nyuma alikuwa mstari wa mbele kuibeza.
Wanatafuta size yao.Mbona hakumshughulikia huyu jamaa?
View attachment 1894705
Huyu Gwajima anapiginia tumbo lake. Mwenye makosa ni Magufuli. Hawa wote ni yeye aliwaingiza kwenye ubunge kwa kutumia njia za nguvu. Kimsingi suala la Gwajima ni dogo sana ila linahitaji viongozi wenye busara vision. Mama Samia kama mtangulizi wake hana. Ni kumwambia tu achia ngazi ya ubunge au jiuzulu ''uongozi wa kiroho'' unaokuweka mjini uwe muumini wa kawaida. Akijiuzulu hatapata tena platform ya kuposha. La sivyo kama anataka kuendelea kupotosha basi aachie ngazi kwenye ubunge.Huyu jamaa anatuaibisha Wasukuma.
UN wasifie takataka ambayo haiamini katika sayansi?Wanatafuta size yao.
Huyu alikuwa kitu kingine,UN wenyewe waliishia kumsifia tu.
Story za udikiteta wakazipuuza.
Angalia hiki kisura, utafikiri sio chenyewe kilichokuwa kinapinga chanjo miezi 4 iliyopita shenzi taipu View attachment 1894704
Naibu waziri wa Afya anaefanya Kazi nchi nzima anakuwaje mdogo Kwa mbunge tena wa kijisehemu!!...tuwe tunafikiri wakati mwengine!!...Gwajima ambae amebebwa tu tena na mtu hata chama hakikumpitisha tuwetunafikiria hata kidogoHuyo Mollel ni bwana mdogo sana kwa Gwajima na hawezi kumfanya kitu
Mollel katupiga sound
Ukifikiria wewe inatoshaNaibu waziri wa Afya anaefanya Kazi nchi nzima anakuwaje mdogo Kwa mbunge tena wa kijisehemu!!...tuwe tunafikiri wakati mwengine!!...Gwajima ambae amebebwa tu tena na mtu hata chama hakikumpitisha tuwetunafikiria hata kidogo
Ccm haijawahi kutenda jema kwa watanzaniaAnatupeleka chaka huyu tumhoji je lazima mbunge kabla kuingia bungeni achanje? Katumwa na Ndugai kukimbia hoja.Ajibu Spika anasemaje mbunge lazima kuchanjwa ili aingie Bungeni? Naibu Waziri jibu