#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

Naibu waziri wa Afya, Dr."Godwin Mollel anesema;

"Gwajima amevuka mipaka, anapotosha Taifa, hawezi kupingana na serikali na hana uthibitisho wa kisayansi,anasema mtu akichanjwa kuna vitu vinaingizwa mwilini ili mtu afe baada ya miaka 2 ama kumi,tutamuita athibitishe hili,akishindwa tutamshughulikia"

View attachment 1894901

[emoji2398]Darmpya blog
 
Hoja zake za kutoa You Tube ni za kipuuzi na zinajibika kirahisi, sema amekutana na Waziri wa Afya na akina Polepole ambao wote ni Wapuuzi walionunuliwa kama Mifugo.

kwanni na nyie maitafute majbu yake you tube
 
Huyo Mollel ni bwana mdogo sana kwa Gwajima na hawezi kumfanya kitu

Mollel katupiga sound
Nimesikia dk anasema wataita wanasayansi waipime chanjo mbele ya waandishi wa habari
Sikutegemea dk aoongee ujinga kama huo
Hv unaweza kuipima chanjo mbele ya waandishi
Kwanza unapima nin?
Halafu waandishi unawaambia umeona nin
Kuna dawa nyingi TU tunazitumia zinaleta madhara baadae ya muda Fulani lakin tunazitumia na madaktar wanatuandikia
Sasa anashangaa nini gwajima kusema chanjo Ina madhara
Baadae
 
Washughulikiane tu! Hakuna namna.
Wacha yatafunane tu
FB_IMG_1616545580714.jpg
 
Gwajima hana lolote kwanini hakumuombea mwendazake mpaka akafa kwa corona?
alikuwepo mbishi kama Mama Rwakatere Askofu na mmiliki wa mashule kibao akafa kwa corona?
chungeni sana kina Vibwetere ndio wanarudi wataliangamiza Kanisa lake sasa hivi lkn sio Watanzania werevu
Sibishi mkuu juu ya hilo, kwa sababu ya ukweli mchungu inawapasa watu wa Mungu wadhalaurike, kwani hata Kristo mwenyewe aliitwa jina baya la Belzebhuri kwa sababu ya kusimamia haki na ukweli juu ya ufalme wa mbinguni. Inakupasa kuchora mstari ili kutenganisha maisha ya kimwili na yale ya kiroho.

Hii inatokana ukweli ya kwamba, Mungu ni Roho, nao wamuabudio inawapasa kumuabudu kwa roho na kweli. Kwa kuwa watakatifu wake wote inawapasa kuishi kwa kuusimamia ukweli hata kwa ncha ya upanga.
 
Mdahalo uwekwe live najua gwajima atashinda na selikal iweke wazi waliochomwa na waangaliwe kwa miaka 2 akifa hata mmoja tayar kesi closed gwajima anakuwa ameshinda
 
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel amesema kuwa mchungaji Gwajima sasa kapitiliza kwa kuwapotosha Watanzania.

Kwa ufupi pitia kwenye bandiko lake hapa chini ili kujionea alicho ongea.

View attachment 1894702

Hicho chimeumana. Dishko kumeingia morani na rungu na chime.

😂😂😂😂!

Hiiiiii bagosha!
 
Naanza kupata mwanga hii sheria na taratibu mpya za kusajili Taasisi za dini kila baada ya miezi 6 nadhani ilimlenga gwajima. Wanataka wamuweke mtu kati gwajima the bold nad brave.
 
Back
Top Bottom