#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel amesema kuwa Askofu Gwajima sasa kapitiliza katika kuwapotosha Watanzania kwenye matamko yake juu ya chanjo ya UVIKO-19 (Corona).

Askofu Gwajima kupitia ibada za kanisa lake amekuwa akitoa matamko mbalimbali yanayopinga chanjo ya maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO-19.

Hii imekuwa ni kinyume na matamko ya Serikali kupitia viongozi mbalimbali wakiwemo Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel ambao wamekuwa wakihamasisha wananchi kupata chanjo ya kujikinga na maambukizi ya UVIKO-19.

Kwa ufupi pitia kwenye bandiko lake lililochapishwa na gazeti la Nipashe hapa chini ili kujisomea alicho ongea.

Screenshot_20210816-180539.jpg
 
Serikali ina hoja za kimwili zenye uthibitisho wa kisayansi, Mch. Gwajima ana hoja za kiroho tena mbele ya waumini wake. Sasa hapo hapo mambo ya kidunia na ya kiroho yanapatana vipi!?
🤣🤣🤣 Mambo ya rohoni hutambulikana kwa jinsi ya rohoni, na ya mwilini vilevile.

Hapo Sasa pamenoga jamaa wameshindwa kumjibu hoja zake kisayansi wanavizia gap wamrushie zigo yeye.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mambo ya rohoni hutambulikana kwa jinsi ya rohoni,na ya mwilini vilevile.

Hapo Sasa pamenoga jamaa wameshindwa kumjibu hoja zake kisayansi wanavizia gap wamrushie zigo yeye.
Kwanza Molleli ilibidi atwambie inakuwaje leo hii anaipigania chanjo wakati muda wa nyuma alikuwa mstari wa mbele kuibeza.
 
Back
Top Bottom