The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Hivi Kumbe tuna wabunge wajinga zaidi ya kibajaji na msukuma...!!?Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
Mshangae hatoi ushahidi mpaka elezwe ruzuku inaenda wapi. Wanakuwa kama malaya anasema sikupi shughuli mpaka uweke pesa mezani hivi akiitwa mahakamani atasema hawezi kutoa ushahidi mpaka wajue ruzuku unaenda wapi. Kweli kuna watu na viatu. Mwingine mara aseme ataweka mkeka,ni vurugu tupu. Kweli Lisu amewavuruga.Mungu atamlaani
Huyo ni changudoa wa kisiasaMshangae hatoi ushahidi mpaka elezwe ruzuku inaenda wapi. Wanakuwa kama malaya anasema sikupi shughuli mpaka uweke pesa mezani hivi akiitwa mahakamani atasema hawezi kutoa ushahidi mpaka wajue ruzuku unaenda wapi. Kweli kuna watu na viatu. Mwingine mara aseme ataweka mkeka,ni vurugu tupu. Kweli Lisu amewavuruga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kweli isiishie kuwaambia awapeleke mahakamani maana ana evidence zote isiishie kuwaumbua maana hata serikali ilikwama yeye amewarahisishia kazi. Sisi tunasubiri kwasababu hii ni jinai haiwezi kuzungumzwa kumfurahisha mtuAbarikiwe mheshimiwa mollel kwa kuwaumbua hawa Chadema
Kwa kawaida mikutano tu wanawaweka ndani nashangaa mpaka sasa mbona hawajaenda kukamata viongozi wa Chadema? Wanasubiria nini na Mollie ndiyo key witness?Huyo ni changudoa wa kisiasa
wanaji contradict wenyeweKwa kawaida mikutano tu wanawaweka ndani nashangaa mpaka sasa mbona hawajaenda kukamata viongozi wa Chadema? Wanasubiria nini na Mollie ndiyo key witness?
Tena yeye wanaume mkeka ambao tunasubiri. We bosi wake Ndugai bado lakini wake muhimu
Sent using Jamii Forums mobile app
machadema wauaji wakubwa. R.I.P Chacha WangweBasi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
Kwani waliotaka kumteka Boniface walikamatwa?Kwa serikali hii y Magufuli, kama wanekuwa na ushahidi wa shambulio la Lissu wangeutoa siku hiyo hiyo na wahusika wangekamatwa.
Lakini cha ajabu wamebaki kusema leteni dereva ahojiwe.
Mara tunamfutia Lissu ubenge, mara mshahara unasitishwa, mara blaa blaa gani.....
Haya leteni huo ushahidi tena wa CCTV camera mlizozificha
basi huyu sio mtu mzuri kabisa yaani wenzie wanhaha kila siku kujinasua kwenye macho ya wananchi ili kusafisha madoa yeye kakaa na ushahidi wakati kakaribishwa juzi tu.Hii roho mabaya saana balozi wa watu anahangaika kujibu maswali magumu hadi anapaniki wakati kuna mtu kakaa na ushahidi.Polisi wanashindwa ati pa kuanzia hadi wanamsubiri victim wakati uchunguzi hua unaanza immidiately tukio likiwa fresh na yeye anaushahidi.Basi watu kama hawa ni hatari kwa manufaa ya taifa na hapawswi kuaminiwa tena.kama vipi asukumwe ndani tu.Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
mpaka leo nasubiri cctv za tukio la sowetoKumbe chadema ni balaa mpk waliweza kuwaondoa maaskari pale getini wakaweza kuondoa na CCTV aisee,ni makomandoo hawa.
Ujinga mwingine kuujadili ni upuuzi wa daraja la kwanza tu,dokta sindano za ng'ombe zimeshamchanganya huyo.
Ngonjera zinazofanyika ughaibuni huzioni?Hivi issue kubwa hapa ni NANI anahusika au kwanini WALIOHUSIKA hawajakamatwa ?
Wananchi wa kawaida hizi ngonjera za nani kafanya nini haziwasaidii bali cha kuwasaidia ni yoyote aliyehusika ashikwe na kujibu tuhuma...,Pia huyo mwenye ushahidi kwa kukaa nao bila kuutoa wazi nayeye ni wale wale tu..
Ana uwezo wa kukamata mtu ?Ngonjera zinazofanyika ughaibuni huzioni?
Hilo donda unamtonesha Lameki Mdelumpaka leo nasubiri cctv za tukio la soweto
He is retarded. CHADEMA ndio walioondoa walinzi na kamera? Si awape huo ushahidi wanaohangaika kujisafisha? Kweli kuwa ccm ni lazima uache kufikiri kabla hujaongea au kutenda.