Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.

View attachment 1017124
Kuamini ujinga huu labda uwe taahira tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huyu Dr mzima kabisa anatoa hoja ya kipuuzi namna hii na mamlaka za ulinzi na usalama zinamuacha tu!

Kweli ccm na ujinga ni kama bwawa la samaki na samaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.

View attachment 1017124

chadema wakaondoa walinzi hadi wa majirani, wakaondoa cctv pia, wakampeleka hospitali, wakakaa naye kumpa ulinzi, wakampeleka belgium, wakakataa wachunguzi wa nje, wakamnyima gharama za matibabu wakidhani atakufa, wakawakataza watawala kwenda kumsalimia hospitali kwani watakuwa wasaliti....... kweli ukihamia huko wanapakua ubongo.
 
wadau naomba kuuliza kwa huyu mzee ni daktari wa nini? maana hata waganga wa kienyeji siku hizi wanajiita madoctor!!
 
He is retarded. CHADEMA ndio walioondoa walinzi na kamera? Si awape huo ushahidi wanaohangaika kujisafisha? Kweli kuwa ccm ni lazima uache kufikiri kabla hujaongea au kutenda.
Mkuu huna hata haja ya kuwafafanulia hao wafa maji wa lumumba, wanakera kupitiliza.
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.

View attachment 1017124
Brain damage :Brain Damage: Symptoms, Causes, Treatments
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.

View attachment 1017124
polisi wanasubiri nini tena, kumbe chanzo kinafahamika, waanze na huyu, sasa swali 1, wale askari wanaolinda siku zote pale kwenye yale makazi walitolewa na chadema? na zile cctv camera nazo zilitolewa na chadema, manake hii ya askari na cctv camera wala haziwekewi kipaumbele, wao wanamtaka dereva aje na lissu ndio waanze kuwahoji, inanikumbusha kagurumjuli aliyesababisha mauaji ya Akwilina, wala hazungumzwi, wao ni akina Mbowe na matiko wakati kagurumjuli ndio mzizi wa yote haya, angetoa vibali kwa mawakala Akwilina angekuwa hai, lakini wala sisikii kabisa akitajwa huyu baba, na ndio askari wa dodoma na zile camera, wala hawataki kuzitaja, swali kwa Molel na kama chadema ni mpango wao na kwanini waombe scotland yard waje, kama ni malipo wangelipa hao hao chadema ila walitaka kibali tu cha kuwaruhusu kuingia tuwaone waliomshambulia Lissu, mkakataa, mngeweza kukubali yote hayo, wala kusingekuwa na malumbano mpaka leo
 
Husiolijua ni kama usiku wa giza. Kwani hufahamu moja ya walipchangia kumsafirisha Lisu kutoka Dodoma ni Mbunge wa CCM? Je naye alihusika katika maandalizi yake?
Unapotoa hoja jaribu kutumia sehemu ndogo sana ya ubongo kufikiri kabla ya kutoa. Kuna matukio mengi sana yalifuatana baada ya jaribio ya kuuwawa kwake kushindikana ambapo ukifikiri sana hupatimajibu yaliyokuwa wazi, mojawapo la tukio ambalo ni la mwishomwisho kabisa ni la Mheshimiwa Spika kutokujua kama bado TAL yupo matibabuni
Nimemuliza, je walipanga kumuua au kumjeruhi? Kasema walishandaa hospitali kabisa! Je, kama lengo lilikuwa ni kumuua, hospitali iliandaliwa ya nini? Yaani unataka kuua halaf unaandaa na hospitali! Jamaa hana uwezo wa kufikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.

View attachment 1017124
Ccm ni chama cha wasema kweli,ndio maana ukija hata kama ulikuwa chizi, unapona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.

View attachment 1017124
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbavu zangu
Dr! Dr! Drrrrr!
Sitaki mwanangu asome saana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.

View attachment 1017124
Uso wa Godwin Mollel utafikiri ni mganga wa kienyeji?
 
Back
Top Bottom