Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Huyu jamaa anaongea kama mtoto wa chekechea mwenye matatizo.Kwa kauli yake hiyo ni dhahiri kuwa ccm imeshindwa kuisimamia serikali na inafaa kuondoka mara moja ili chadema waweze kuisimamia.Haiingii akilini kwa sehemu yenye ulinzi wa jeshi halafu chadema wakaingia ndani wanafanya tukio la kutaka kuuwa na baadae wakapata hadi muda wa kutoa camera hata bila kukamatwa hadi hivi sasa,ama kweli jeshi halipo kulingana na hoja dhaifu ya Molleli.Yeye molleli alidhani anajenga kwa kuongea utumbo huu,kumbe ndiyo kwanza anaizalilisha serikali yake.Haya mambo si yakuwaeleza watu wenye akili timamu bali ni mataahira tu ndiyo wakuwaeleza utumbo huu.
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.

View attachment 1017124
Alianza Ndugai kua ataweka mkeka wa wa fedha za matibabu hadi saizi hakuna. Kakaa kimya ka hakuahidi kitu.
Kaja Molela anasema ana ushahidi ila atautoa hadi Chadema waseme ruzuku wanapeleka wapi.
Naamini hawa wote wako sawa kiakili wameongea bila kua na ushahidi, kwa sababu
Moja, serikali ya chama chake ccm ndo inapata sura mbaya hadi kimataifa, kama angekua na ushahidi angekua wa kwanza kuutoa huo ushahidi ili kuisafisha serikali yake bila kujali issue ya ruzuku mana havina uhusiano na ugaidi aliofanyiwa Lisu. Sasa je , Molela yupo yupo tayari kuona serikali alioiunga mkono inapata sifa mbaya ya uuaji ingali yeye ana ushahidi wa kuthibitisha kua haikusika?
Ka kama yupo tayari kuona serikali yake inapata image mbaya ni kwa faida ya nani?
Tunataka ushahidi sio porojo na ngonjera zile zile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
police na lugola sasa wamtake huyu mbunge awape ushahidi, na walifufue faili walilolitelekeza dhidi ya Lisu kwa maana ushahidi sasa upo wazi
 
Mnajitahidi kujisafisha Lakin Ndiyo hivo mshachafuka Kwel Kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa wanazidi kujidhalilisha kwa kuonyesha kuwa ccm imeshindwa kuisimamia serikali.Yani sehemu yenye ulinzi 24/7 halafu chadema wanaingia na kufanya vyao bila kukamatwa hadi leo,huo ni udhaifu mkubwa sana.Ni kichekesho molleli kuyajuwa haya wakati mamlaka husika haiyajuwi.HERI KUFA UKIWA NA FIKRA HAI KULIKO KUISHI UKIWA NA FIKRA MFU.UPUMBAVU NI ILE HALI YA KUUJUWA UKWELI,KUUONA UKWELI,LAKINI UNAENDELEA KUAMINI KATIKA UONGO.
 
Sio wachukue ushahidi tu kwa huyo mbunge. Inatakiwa wamlaze nondo kwa kuiba kudhibiti/ushahidi katika eneo la uhalifu. Kuiba hizo sample ndio kumepelekea Upelelezi kuwa mgumu na file kufungwa.

Yani sijui aliwaza nini hadi akaongea ujinga huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.

View attachment 1017124
kwahiyo baada ya chadema kusuka mpnago wa kumuua TL wakapanga na kuondoa walinzi wa serikai pale maeneo yao, wanachadema pia ndio wakaondoa na CCTV pale baada ya tukio, na baaxa ya hapo Ni Chadema waliozuia Jeshi la Polisi la tanzania lisidanye uchunguzi wowotee juu ya tukio la kiuhalifu wa mauaji??

Chadema tuko juu .
 
Kiki ya kisiasa. Tunaiomba polisi imhoji mapema na atoe huo ushahid haraka kwezekanavyo
 
Anatakiwa aje na footage za CCTV camera kabla ya kujitutumua
Inaonekana Area D paliendelea vizuri sana maana miaka 2012 au13s hivi hapakuwa na cctv kamera kuna wakati block moja liliwaka moto pia ulinzi ulikuwepo main gate wa walinzi local( hizi kampuni za ulinzi tu) maaskari walijuwa wanakuja kuanzia saa 12 jioni tena kipindi cha bunge.
Kwa kuwa inasemwa huenda hayo yapo mi niko outdated [emoji41] nifua jana kama mtu anapovu lisiwe jingi boxer tu ndio sikufua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.

View attachment 1017124

Kumbe na huko Siha kuna design hii?
 
Lissu kawatia wendawazimu, ndo ajenda sasa! Hakuna uzinduzi wala viwanda kila anayesimama anataka kum.impress mkulu kwa kum.attack Lissu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamoo Faiza Foxy"Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga"
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.

View attachment 1017124
Aisee huyu ni wakukamata kabisa. Hii ni dharau kubwa kwa serikali tukufu na jeshi letu imara la Polisi. Yaana Jeshi lenye vifaa,askari wa kutosha, wanalipwa vzr. Wamepata mafunzo ila mpaka Leo bado wanachunguza tukio la Lisu hawajawafahamu wahusika. Alafu Leo huyu Mollel mmoja tu hana mafunzo wala vifaa halipwi hata kwa kazi hyo anasema amewapata wahusika? Kwa hiyo ni mpelelezi mzuri kuliko polisi wetu? Hii ni dharau aisee hata kama ni kweli, huyu akamatwe kwa kudhalilisha vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Haiwezekani aweze kilichowashinda wanausalama wa nchi.
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.

View attachment 1017124
Tatizo Taifa hili lina wasaka tonge wengi sana ndiyo maana halisogei.
 
Back
Top Bottom